mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Asalam alaykum, , uislam unasema usiharamishe kitu kwa sababu hukipendi na usihalalishe kitu kwa sababu unakipenda, pombe haramu, hata kama anakunywa shekhe bado ni haramu. Na yeyote anaehusika kuiyandaa pombe anapata dhambi, yule mwenye minazi ambae kwa hiyali yake ameruhusu itengezwe pombe anapata dhambi, yule anaepanda juu ya mnazi kuchukua pombe anapata dhambi yule anaepeleka pombe sokoni anapata dhambi na mnywaji pia anapata dhambi sasa hao waislam wa huko pwani wasiihalalishe pombe kwa sababu wao wameipenda, hio sio ktk uislam. Uislam umekata pombe , uislam umekata nguruwe.