Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
We unataka mi nipigwe mawe. Mi pombe nakunywa...yesu mwenyewe alibadili maji kuwa divaiOfcourse.....lkn wewe nipe tu assurance kabisa kutoka horse mouth. Kwamba Mufti au Shekhe.......kasema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unataka mi nipigwe mawe. Mi pombe nakunywa...yesu mwenyewe alibadili maji kuwa divaiOfcourse.....lkn wewe nipe tu assurance kabisa kutoka horse mouth. Kwamba Mufti au Shekhe.......kasema
Hiyo hapana sio muongozo?Hapana..
Ila ngoja waje kukupa muongozo...
Tukutane siku moja kutafakari life after life! Mimi pia hiyo kitu natumia polpole!We unataka mi nipigwe mawe. Mi pombe nakunywa...yesu mwenyewe alibadili maji kuwa divai
Yes itapendeza sana. KaribuTukutane siku moja kutafakari life after life! Mimi pia hiyo kitu natumia polpole!
Tukutane ile kipande ingine....!🤣Yes itapendeza sana. Karibu
Wapi huko mkuu?Tukutane ile kipande ingine....!🤣
Tena ukichunguza ngono zenyewe so ajabu anazungumzia uzoefu wake wa anayoyafanya na wazinzi wenzakeDini hizi we achana nazo , Mfano kuna Msanii anaitwa Zuchu alishawahi kusema kwenye interview kuwa yeye hawezi kukubali kudhaminiwa na kampuni zinazotengeneza Vilevi Sasa ajabu nyimbo zake nyingi za huyo Msanii ni maudhui ya Kingono ngono tena ya Wazi wazi...!
Mkuu kunywa tu pombe ya aina yeyote kama unataka, hakuna ushetani wala dhambi kufanya hivyo. Kumbuka dini zimetungwa na binadamu si Mungu.Moja kwa moja kwenye hoja. Kinywaji hiki cha 'mnazi' ni maarufu sana na kinatumiwa kwa wingi katika ukanda wa pwani wa nchi yetu ambao kwa kiasi kikubwa una idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiisilamu.
Kwa kuwa kinywaji hiki kina 'ulevi' ndani yake, yaani kwa kunyoosha maelezo ni pombe, na kwa kuwa pombe ni 'haramu' kwa imani ya kiisilamu, Je, wakazi waisilamu wa maeneo ya Pwani, wanafanikiwaje kujiepusha kutayarisha na kutumia kinywaji hiki?
Au kwa lugha nyepesi, waisilamu wa huko pwani ni kweli hawajihusishi na pombe hiyo?
cc: black sniper, imhotep, nasrimgambo, Kimpyempye, zebri, Mwislam by choice, ummumuhammad, Mesut90, Impimpi, Kikwajuni One, FaizaFoxy
View attachment 2141831
Nahisi wakati unaandika haya tayari ulikuwa umeshagonga lita moja na nusu ya mnazi. Mbona swali lipo kawaida sana, kuna haja ya kutokwa povu hapa?Kwani huko kwenye dini yenu mumeruhusiwa kufirana? Na sie wala hatusemi tunawaangalia tu na elimu zenu ati munajidai mumesoma elimu dunia, ndio mufirane?
Namna hii tutaenda pamoja,Nahisi wakati unaandika haya tayari ulikuwa umeshagonga lita moja na nusu ya mnazi. Mbona swali lipo kawaida sana, kuna haja ya kutokwa povu hapa?
Mimi sio kazi yangu kuwazuia wanaotukana, na ndio maana hata wewe sikuweka nguvu kukuzuia ila hasa kukuelekeza katika kujibu hoja ya maandalizi na matumizi ya pombe ya mnazi kiimaniNamna hii tutaenda pamoja,
Kadri munavyotutukana reja reja tutawatukana jumla jumla mpaka tuwaukraine,
Kuna ambao wamemtukana mpaka mtume hapo mbona hukuwakosoa?
Pombe yoyote hairuhusiwi katika uislamu ,Mimi sio kazi yangu kuwazuia wanaotukana, na ndio maana hata wewe sikuweka nguvu kukuzuia ila hasa kukuelekeza katika kujibu hoja ya maandalizi na matumizi ya pombe ya mnazi kiimani