Je, kinywaji aina ya ‘mnazi’ ni halali kwa Waislamu?

Asalam alaykum, , uislam unasema usiharamishe kitu kwa sababu hukipendi na usihalalishe kitu kwa sababu unakipenda, pombe haramu, hata kama anakunywa shekhe bado ni haramu. Na yeyote anaehusika kuiyandaa pombe anapata dhambi, yule mwenye minazi ambae kwa hiyali yake ameruhusu itengezwe pombe anapata dhambi, yule anaepanda juu ya mnazi kuchukua pombe anapata dhambi yule anaepeleka pombe sokoni anapata dhambi na mnywaji pia anapata dhambi sasa hao waislam wa huko pwani wasiihalalishe pombe kwa sababu wao wameipenda, hio sio ktk uislam. Uislam umekata pombe , uislam umekata nguruwe.
 
Ila misikiti ikijengwa kwa pesa ya pombe ruksa.
 
Ila misikiti ikijengwa kwa pesa ya pombe ruksa.
Sio ruska hata kwa pesa ya kamali pia sio ruska sema viongozi wa dini wengi huangalia matumbo yao, kuna sehemu ukienda ukasema nilibeti nimeshinda sasa nimekuja kutoa sadaka ya ujenzi wa msikiti wanakutimua, lkn kwingine wanapokea lkn wanajua sio sawa kufanya hivyo.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi mzuri
 
Hapo kwenye mito ya ulevi kwa wanywao...ina maana ni kwa wale ambao duniani walikuwa wanakunywa. Au nimeelewa vibaya?
Dhahiri!
Kwa waliokuwa wanakunywa! huko sio tena ya kupigiwa ni mito [emoji122][emoji122]
 
Dhahiri!
Kwa waliokuwa wanakunywa! huko sio tena ya kupigiwa ni mito [emoji122][emoji122]
Kwahiyo tumehitimisha kuwa pombe haikatazwi?
 
Kwani huo mnazi umekuta ukinywewa na waislamu tu au waislamu wamesema hiyo pombe ni kwaajili yao tu? au bia zinanywewa na wakristo tu, ninachofahamu ni kwamba muislamu swafi hatumii kilevi kamwe, ukiona anatumia basi ni kama ukimkuta Padre au Rev amebana kwenye kona yenye mashaka
 
Coconut juisi ni halali ndiyo maana inapatikana pwani, hata komba wanalijua hilo.
 
Ukitoka kugemwa unakua Kama juice tu ya miwa ata ukinywa ulewi ila ukilala ndo unakua pombe ata boha ndo hivyo hivyo mlevi wa mnazi akienda chooni kukojoa choo huwa kina nuka Sana mkojo wake unanuka Sana na uharoo
 
Nafikiri najisi kwao ni ukristu, pombe na nguruwe, mengine si najisi, hasa ngono.
 
Huyo ni Zuchu siyo mafundisho ya dini yanavyosema , angekuwa amesema aya inayosapoti hayo aliyosema hapo dini ingetiwa makosani .
 
Nafikiri najisi kwao ni ukristu, pombe na nguruwe, mengine si najisi, hasa ngono.
Weka ushahidi wa hayo unayo dai kupitia Qur'an na Sunnah sio unaongea kama Mwehu wakati Jf ina slogan kwamba ni 'Home of great thinker" wewe inafanya hapa kama kijiwe cha bangi au umbea.
 
Kwa hiyo shidano kujua chanzo cha pesa?!?

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwenye mito ya ulevi kwa wanywao...ina maana ni kwa wale ambao duniani walikuwa wanakunywa. Au nimeelewa vibaya?
Naomba mjibuko haraka ndugu yangu.....nijiachie mazima kuanzia duniani🤣🤣
 
Naomba mjibuko haraka ndugu yangu.....nijiachie mazima kuanzia duniani🤣🤣
Na mimi bado nasubiri jibu la mwisho. Lkn si wanasema maandiko hayadanganyi?😃😃
 
Na mimi bado nasubiri jibu la mwisho. Lkn si wanasema maandiko hayadanganyi?😃😃
Ofcourse.....lkn wewe nipe tu assurance kabisa kutoka horse mouth. Kwamba Mufti au Shekhe.......kasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…