Je, kinywaji aina ya ‘mnazi’ ni halali kwa Waislamu?

We unataka mi nipigwe mawe. Mi pombe nakunywa...yesu mwenyewe alibadili maji kuwa divai
Tukutane siku moja kutafakari life after life! Mimi pia hiyo kitu natumia polpole!
 
Tena ukichunguza ngono zenyewe so ajabu anazungumzia uzoefu wake wa anayoyafanya na wazinzi wenzake
 
Kwani huko kwenye dini yenu mumeruhusiwa kufirana?
Mbona wanaume kwa wanaume wanaoana na vyeti wanapewa?
Na sie wala hatusemi tunawaangalia tu na elimu zenu ati munajidai mumesoma elimu dunia, ndio mufirane?
 
Mkuu kunywa tu pombe ya aina yeyote kama unataka, hakuna ushetani wala dhambi kufanya hivyo. Kumbuka dini zimetungwa na binadamu si Mungu.
 
Kwani huko kwenye dini yenu mumeruhusiwa kufirana? Na sie wala hatusemi tunawaangalia tu na elimu zenu ati munajidai mumesoma elimu dunia, ndio mufirane?
Nahisi wakati unaandika haya tayari ulikuwa umeshagonga lita moja na nusu ya mnazi. Mbona swali lipo kawaida sana, kuna haja ya kutokwa povu hapa?
 
Nahisi wakati unaandika haya tayari ulikuwa umeshagonga lita moja na nusu ya mnazi. Mbona swali lipo kawaida sana, kuna haja ya kutokwa povu hapa?
Namna hii tutaenda pamoja,
Kadri munavyotutukana reja reja tutawatukana jumla jumla mpaka tuwaukraine,
Kuna ambao wamemtukana mpaka mtume hapo mbona hukuwakosoa?
 
Namna hii tutaenda pamoja,
Kadri munavyotutukana reja reja tutawatukana jumla jumla mpaka tuwaukraine,
Kuna ambao wamemtukana mpaka mtume hapo mbona hukuwakosoa?
Mimi sio kazi yangu kuwazuia wanaotukana, na ndio maana hata wewe sikuweka nguvu kukuzuia ila hasa kukuelekeza katika kujibu hoja ya maandalizi na matumizi ya pombe ya mnazi kiimani
 
Mimi sio kazi yangu kuwazuia wanaotukana, na ndio maana hata wewe sikuweka nguvu kukuzuia ila hasa kukuelekeza katika kujibu hoja ya maandalizi na matumizi ya pombe ya mnazi kiimani
Pombe yoyote hairuhusiwi katika uislamu ,
Kuuza na kunywa kunakofanywa na waislam hakuhalalishi uharamu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…