Katiba ya CCM ya 1977 🐼Kwa kutumia kifungu gani cha sheria?
NyooooAnayo 🐼
Zote ni za 1977 😁Kwahiyo katiba ya CCM ina nguvu kuliko katika ya Jamhuri?
Wewe unayetumia akili hujui kwanini Rais wa JMT ni lazima awe Mwenyekiti wa CCM 😁Tatizo unajibu kwa kutumia tumbo na si akili.