Katiba ya CCM ya 1977 πΌKwa kutumia kifungu gani cha sheria?
NyooooAnayo πΌ
Zote ni za 1977 πKwahiyo katiba ya CCM ina nguvu kuliko katika ya Jamhuri?
Wewe unayetumia akili hujui kwanini Rais wa JMT ni lazima awe Mwenyekiti wa CCM πTatizo unajibu kwa kutumia tumbo na si akili.