Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
It’s good to dreamUongo mtutu
Ukiamka hakuna upinzani unaoaminiwa na watanzania.
Magufuli was special
It’s good to dreamUongo mtutu
Acha vijihadithi vyepesi weye!Mmekaa kama vichawi vile!Kwa hiyo mlikaa viuno juujuu mkisubiri marehemu atajwe ndiyo mpige vigelegele?Tumieni bongo.Haturudi nyuma.Na wala hatutambiki.Maisha yanasonga mbele.😂😂😂😂Ujajifunza tu kwenye ufunguzi wa kuachia bwawa jinsi watanzania walivyomwelewa Magufuli.
Hizo hadithi za katiba mpya zipo vichwani mwenu tu, na wala hakuna kiongozi wa upinzani watanzania wanaomwamini. Ata kwa uchaguzi halali CCM inashinda asubuhi tu.
Ujajifunza tu kwenye ufunguzi wa kuachia bwawa jinsi watanzania walivyomwelewa Magufuli.
Hizo hadithi za katiba mpya zipo vichwani mwenu tu, na wala hakuna kiongozi wa upinzani watanzania wanaomwamini. Ata kwa uchaguzi halali CCM inashinda asubuhi tu.
Hivi bila Katiba mpya, itakayotuletea Tume huru ya uchaguzi, tutapata wapi maendeleo enddlevu Kwa watanzania?Ni hivi katiba mpya ni hadithi za wanaharakati uchwara na wapinzani; ila sio hoja za watanzania.
Lakini watanzania sio mafala wasiojua wanataka nini elewa hilo. Utaki endelea kuishi lala land.
Kumtukana Magufuli ni kielelezo cha ulimbukeni. You just don’t know na kucha zangu nazithamini.
You,damn stool!What and where was the devil special for?😂😂😂😂It’s good to dream
Ukiamka hakuna upinzani unaoaminiwa na watanzania.
Magufuli was special
Wakati unashangilia itasaidia kama wewe ni wale wachangiaji wa kinyarwanda au kenya; ambao mnajificha kujifanya wapinzani huku amuitakii nchi mema.Acha vijihadithi vyepesi weye!Mmekaa kama vichawi vile!Kwa hiyo mlikaa viuno juujuu mkisubiri marehemu atajwe ndiyo mpige vigelegele?Tumieni bongo.Haturudi nyuma.Na wala hatutambiki.Maisha yanasonga mbele.😂😂😂😂
Ulikaa na nani mkaujadili huo ushujaa wa marehemu?Shujaa aliyeogopa hata kujibu orally hoja nyepesi za akina Ben Saanane,Lissu and the like?Mfalme juha?😂😂😂😂Wakati unashangilia itasaidia kama wewe ni wale wachangiaji wa kinyarwanda au kenya; ambao mnajificha kujifanya wapinzani huku amuitakii nchi mema.
Lakini kitaa Magufuli shujaa na wala katiba sio agenda yetu ya kitaa.
Katiba mpya unayoitaka wewe, iwe na nini ambacho unadhani itasaidia upinzani.Hivi bila Katiba mpya, itakayotuletea Tume huru ya uchaguzi, tutapata wapi maendeleo enddlevu Kwa watanzania?
Hicho ulichoeleza wewe ni propaganda tulizozizoea toka Kwa watawala Hawa wa CCM
Hebu tujaribu kuji-compare na nchi zilizo na Katiba za nchi, inayokidhi mfumo wa vyama vingi, ziko mbali Sana kiuchumi, tuchukulie mifano michache tu ya Afrika Kusini na Kenya
AlamsikiUlikaa na nani mkaujadili huo ushujaa wa marehemu?Shujaa aliyeogopa hata kujibu orally hoja nyepesi za akina Ben Saanane,Lissu and the like?Mfalme juha?😂😂😂😂
Siyo kusaidia upinzani weye legelege wa akili!Haihitajiki katiba ya kukisaidia kikundi.Ni kwa mustakabali wa nchi.Na ndiyo mnajipitisha vichochoroni kudanganya watu huo uzushi wenu.Katiba mpya unayoitaka wewe, iwe na nini ambacho unadhani itasaidia upinzani.
Kwa sababu swala la time huru ni amendments za sheria; lakini sio issue ya kikatiba.
Alamsiki ya wapi weye?Ungeandika tu za asubuhi!Alamsiki
Katiba sio shida ya watanzania
Acha ujinga wako!Lala!Nilichojifunza ni hiki
Serikalini kuna watu wa aina mbili
Wale wanaojua na kuamua kukaa kimya maisha yaende
Na wale wanaojua, sasa ukianza kuadithiwa tena watu wenye vitambulisho vya usalama; binafsi huwa sipendi kujua sana na kata hizo story. Naamini the less you know the better.
Bora uje JF utukane jumla jumla kuliko kujua jinsi hiyo mijizi inavyotajirika uwaguse kwenye ukweli (lazima wafumue marinda).
Watanzania sio wajinga, wanaelewa hakuna mbadala wa CCM wanaona huo ufisadi.
Hizo hadithi za katiba mpya ni upuuzi mtupu na kumtukana Magufuli ni kujifurahisha tu.
Advice taken 👋Acha ujinga wako!Lala!
Hali ni tofauti Sana nchini kwetu, Kwa kuwa ndani ya nchi hii, katika utawala wa CCM kipaumbele Chao kikubwa ni kuhakikisha kuwa chama Chao Chao Cha CCM kinaendekea kubaki madarakani, Kwa njia zozote zile, ziwe za haramu au hallali, lakini kubaki madarakani.Kutokana na mlolongo wa matukio yanayotokea nchini, nimekuwa nikijiuliza Sana, je kipaumbele Cha CCM, ni kuendelea kubaki madarakani au ni kuwaletea maendeleo watanzania?
Kipaumbele Cha utawala wowote wa serikali ni kuwaletea maendeleo wananchi wake na kama wasipofanya hivyo, watajikuta wanapigwa chini katika uchaguzi unaofuata.
Hali ni tofauti Sana nchini kwetu, Kwa kuwa ndani ya nchi hii, katika utawala wa CCM kipaumbele Chao kikubwa ni kuhakikisha kuwa chama Chao Chao Cha CCM kinaendekea kubaki madarakani, Kwa njia zozote zile, ziwe za haramu au hallali, lakini kubaki madarakani.
Ipo mifano mingi, mmojawapi wa mifano hiyo ni kuwa Kwa kutumia vyombo vya dola, kuhakikisha kuwa chama kilichopo madarakani, kinaendekea kusalia madarakani miaka yote.
Hiyo hali haihitaji ushahidi, Kwa kuwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, enzi za utawala wa Mwendazake, Hayati Magufuli, Dkt Bashiru Ally, aliwahi kulikiri waziwazi, mbele ya vyombo vya habari kuwa chama chale Cha CCM, kitaendelea kutumia vyombo vya dola wakati wote, kuendelea kusalia madarakani!
Hebu tujiulize ni kwanini serikali ya CCM inapata "kigugumizi" kikubwa Sana kutengeneza Katiba mpya itakayoendana na mfumo wa vyama vingi?
Jibu liko wazi, kuwa kutengeneza Katiba mpya, itakayokidhi mfumo wa vyama vingi, itakuwa sawasawa na kujitia kitanzi wenyewe CCM!
Siyo Siri tena kuwa Katiba yetu ya nchi ni ya mfumo wa chama kimoja.
ni kwanini CCM iendelee kupata "kigugumizi" kuibadilisha Katiba hiyo?
Jibu liko wazi, wao CCM wanajua kuwa wakiobadilisha Katiba hiyo na kuleta Katiba itakayokidhi mfumo wa vyama vingi, ndiyo itakuwa mwisho wa utawala wao wa kidikteta.
Hebu tujiulize, inakuwaje Rais aliyeko madarakani kupewa madaraka makubwa mno ya kiuteua viongozi mbalimbali wa vyombo vya dola, kama Mkuu wa Jeshi nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jaji Mkuu, Wakuu wote wa Mikoa, wakuu wote wa wolaya, wakurugenzi wote wa wolaya (ambao ndiyo wasimamizi wakuu wa chaguzi mbalimbali kwenye maeneo yao)
Hivi Kwa kumpa madaraka makubwa kiasi hicho, ambayo ni sawasawa na kumfanya Mku wa nchi awe dikteta, hivi nchi hii itawezaje kuifanya ipate maendeleo enddlevu?
Ndiyo maana siyo jambo la kishangaza hata kidogo Kwa nchi yetu, pamoja na kuwa tumepeya uhuru wetu toka Kwa mkolloni zaidi ya miaka 60 hivi Sasa, nchi yetu Bado inakuwa na ukosefu wa mahitaji ya msingi wa Binadamu, ya Maji na Umeme![emoji41]
Vyombo vya habari binafsi, ambavyo ndiyo tegemeo pekee lililokuwa limebaki Kwa watanzania, navyo vimetiwa "Kabali" na watawala na vinaelekezwa nini Cha kuripoti!
Kwa hali hiyo unategemea watawala wetu watuwazie maendeleo sisi watanzania?
Jibu langu ni big NO.
Ni wazi kuwa watawala wetu, kipaumbele Chao Cha kwanza ni kuendelea kubaki madarakani FOR ANY MEANS
Afungue Samia wamwelewe magufuli? We hauko sawaUjajifunza tu kwenye ufunguzi wa kuachia bwawa jinsi watanzania walivyomwelewa Magufuli.
Hizo hadithi za katiba mpya zipo vichwani mwenu tu, na wala hakuna kiongozi wa upinzani watanzania wanaomwamini. Ata kwa uchaguzi halali CCM inashinda asubuhi tu.
Ndivyo wanavyotangaza propaganda zao, eti wapinzani wanalilia Katiba mpya!Siyo kusaidia upinzani weye legelege wa akili!Haihitajiki katiba ya kukisaidia kikundi.Ni kwa mustakabali wa nchi.Na ndiyo mnajipitisha vichochoroni kudanganya watu huo uzushi wenu.
Wanaeleweka kwa kujitahidi kueneza ujinga wao.They are nothing but savages!Ndivuo wanavyotengaza propaganda zao, eti wapinzani wanalilia Katiba mpya!
Badala ya kusema watanzania wote wanaiitaka Katiba mpya, Kwa ajili ya mustskabali mzuri wa nchi yetu
Tusalie madarakani kwanza hayo mengine itajulikana mbele kwa mbele!!!Kutokana na mlolongo wa matukio yanayotokea nchini, nimekuwa nikijiuliza Sana, je kipaumbele Cha CCM, ni kuendelea kubaki madarakani au ni kuwaletea maendeleo watanzania?
Kipaumbele Cha utawala wowote wa serikali ni kuwaletea maendeleo wananchi wake na kama wasipofanya hivyo, watajikuta wanapigwa chini katika uchaguzi unaofuata.
Hali ni tofauti Sana nchini kwetu, Kwa kuwa ndani ya nchi hii, katika utawala wa CCM kipaumbele Chao kikubwa ni kuhakikisha kuwa chama Chao Chao Cha CCM kinaendekea kubaki madarakani, Kwa njia zozote zile, ziwe za haramu au hallali, lakini kubaki madarakani.
Ipo mifano mingi, mmojawapi wa mifano hiyo ni kuwa Kwa kutumia vyombo vya dola, kuhakikisha kuwa chama kilichopo madarakani, kinaendekea kusalia madarakani miaka yote.
Hiyo hali haihitaji ushahidi, Kwa kuwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, enzi za utawala wa Mwendazake, Hayati Magufuli, Dkt Bashiru Ally, aliwahi kulikiri waziwazi, mbele ya vyombo vya habari kuwa chama chale Cha CCM, kitaendelea kutumia vyombo vya dola wakati wote, kuendelea kusalia madarakani!
Hebu tujiulize ni kwanini serikali ya CCM inapata "kigugumizi" kikubwa Sana kutengeneza Katiba mpya itakayoendana na mfumo wa vyama vingi?
Jibu liko wazi, kuwa kutengeneza Katiba mpya, itakayokidhi mfumo wa vyama vingi, itakuwa sawasawa na kujitia kitanzi wenyewe CCM!
Siyo Siri tena kuwa Katiba yetu ya nchi ni ya mfumo wa chama kimoja.
ni kwanini CCM iendelee kupata "kigugumizi" kuibadilisha Katiba hiyo?
Jibu liko wazi, wao CCM wanajua kuwa wakiobadilisha Katiba hiyo na kuleta Katiba itakayokidhi mfumo wa vyama vingi, ndiyo itakuwa mwisho wa utawala wao wa kidikteta.
Hebu tujiulize, inakuwaje Rais aliyeko madarakani kupewa madaraka makubwa mno ya kiuteua viongozi mbalimbali wa vyombo vya dola, kama Mkuu wa Jeshi nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jaji Mkuu, Wakuu wote wa Mikoa, wakuu wote wa wolaya, wakurugenzi wote wa wolaya (ambao ndiyo wasimamizi wakuu wa chaguzi mbalimbali kwenye maeneo yao)
Hivi Kwa kumpa madaraka makubwa kiasi hicho, ambayo ni sawasawa na kumfanya Mku wa nchi awe dikteta, hivi nchi hii itawezaje kuifanya ipate maendeleo enddlevu?
Ndiyo maana siyo jambo la kishangaza hata kidogo Kwa nchi yetu, pamoja na kuwa tumepeya uhuru wetu toka Kwa mkolloni zaidi ya miaka 60 hivi Sasa, nchi yetu Bado inakuwa na ukosefu wa mahitaji ya msingi wa Binadamu, ya Maji na Umeme!😎
Vyombo vya habari binafsi, ambavyo ndiyo tegemeo pekee lililokuwa limebaki Kwa watanzania, navyo vimetiwa "Kabali" na watawala na vinaelekezwa nini Cha kuripoti!
Kwa hali hiyo unategemea watawala wetu watulletee maendeleo sisi watanzania?
Jibu langu ni big NO.
Ni wazi kuwa watawala wetu, kipaumbele Chao Cha kwanza ni kuendelea kubaki madarakani FOR ANY MEANS
Kwa Taifa lolote linalojali maendeleo ya watu wake, kuendelea kusalia madarakani siyo priority no one kwao.Tusalie madarakani kwanza hayo mengine itajulikana mbele kwa mbele!!!
Sasa kwa nini huwa hawafanyi huo uchaguzi halali??!Ujajifunza tu kwenye ufunguzi wa kuachia bwawa jinsi watanzania walivyomwelewa Magufuli.
Hizo hadithi za katiba mpya zipo vichwani mwenu tu, na wala hakuna kiongozi wa upinzani watanzania wanaomwamini. Ata kwa uchaguzi halali CCM inashinda asubuhi tu.
Ni ujinga kufikiria kuwa katiba mpya ni kwaajili ya kumwingiza mtu fulani madarakani.Na sasa unadhani mambo murua au siyo.
Unacheza wewe.
Ignorance is a bliss
Muhimu ni kuelewa watanzania sio wapuuzi. Hayo mambo ya katiba mpya sio yao na hawana imani na viongozi wa upinzani.
Upinzani auwezi shinda uchsguzi ata wa haki, simply hawana majibu ya watanzania.