Je, kipaumbele cha CCM ni kuendelea kusalia madarakani au ni kuwaletea maendeleo Watanzania?

Ni hivi katiba mpya ni hadithi za wanaharakati uchwara na wapinzani; ila sio hoja za watanzania.

Lakini watanzania sio mafala wasiojua wanataka nini elewa hilo. Utaki endelea kuishi lala land.

Kumtukana Magufuli ni kielelezo cha ulimbukeni. You just don’t know na kucha zangu nazithamini.
Wewe kumbe hupo sawasawa kichwani.

Hivi unaelewa Tume ya Kisheria ya Jaji Warioba ilikuja na jibu gani kutoja kwa wananchi kuhusiana na katiba.

JF inaonekana sasa hivi imekusanya hata watu wenye uelewa duni wakati halikuwa lengo la jukwaa hili.

Ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kuhoji uwepo wa katiba mpya wakati uamuzi ulimwishafanywa na wananchi.
 
Kutokana na mlolongo wa matukio yanayotokea nchini, nimekuwa nikijiuliza Sana, je kipaumbele Cha CCM, ni kuendelea kubaki madarakani au ni kuwaletea maendeleo watanzania?

Kipaumbele Cha utawala wowote wa serikali ni kuwaletea maendeleo wananchi wake na kama wasipofanya hivyo, watajikuta wanapigwa chini katika uchaguzi unaofuata.

Hali ni tofauti Sana nchini kwetu, Kwa kuwa ndani ya nchi hii, katika utawala wa CCM kipaumbele Chao kikubwa ni kuhakikisha kuwa chama Chao Cha CCM kinaendekea kubaki madarakani, Kwa njia zozote zile, ziwe za haramu au hallali, lakini kubaki madarakani, ndiyo priority no one kwao!

Ipo mifano mingi, mmojawapi wa mifano hiyo ni kuwa Kwa kutumia vyombo vya dola, kuhakikisha kuwa chama kilichopo madarakani, kinaendekea kusalia madarakani miaka yote.

Hiyo hali haihitaji ushahidi, Kwa kuwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, enzi za utawala wa Mwendazake, Hayati Magufuli, Dkt Bashiru Ally, aliwahi kulikiri waziwazi, mbele ya vyombo vya habari kuwa chama chale Cha CCM, kitaendelea kutumia vyombo vya dola wakati wote, kuendelea kusalia madarakani!

Hebu tujiulize ni kwanini serikali ya CCM inapata "kigugumizi" kikubwa Sana kutengeneza Katiba mpya itakayoendana na mfumo wa vyama vingi?

Jibu liko wazi, kuwa kutengeneza Katiba mpya, itakayokidhi mfumo wa vyama vingi, itakuwa sawasawa na kujitia kitanzi wenyewe CCM!

Siyo Siri tena kuwa Katiba yetu ya nchi ni ya mfumo wa chama kimoja.

ni kwanini CCM iendelee kupata "kigugumizi" kuibadilisha Katiba hiyo?

Jibu liko wazi, wao CCM wanajua kuwa wakiobadilisha Katiba hiyo na kuleta Katiba itakayokidhi mfumo wa vyama vingi, ndiyo itakuwa mwisho wa utawala wao wa kidikteta.

Hebu tujiulize, inakuwaje Rais aliyeko madarakani, ambaye pia ndiyo Mwenyekiti wa chama tawala Cha CCM, kupewa madaraka makubwa mno ya kiuteua viongozi mbalimbali wa vyombo vya dola, kama Mkuu wa Jeshi nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jaji Mkuu, Wakuu wote wa Mikoa, wakuu wote wa wolaya, wakurugenzi wote wa wolaya (ambao ndiyo wasimamizi wakuu wa chaguzi mbalimbali kwenye maeneo yao)

Hivi Kwa kumpa madaraka makubwa kiasi hicho, ambayo ni sawasawa na kumfanya Mkuu huyo wa nchi awe dikteta, hivi nchi hii itawezaje kuifanya ipate maendeleo enddlevu?

Ndiyo maana siyo jambo la kishangaza hata kidogo Kwa nchi yetu, pamoja na kuwa tumepata huru wetu toka Kwa mkolloni zaidi ya miaka 60 hivi Sasa, nchi yetu Bado inakuwa na ukosefu wa mahitaji ya msingi wa Binadamu, ya Maji na Umeme!😎

Vyombo vya habari binafsi, ambavyo ndiyo tegemeo pekee lililokuwa limebaki Kwa watanzania, navyo vimetiwa "Kabali" na watawala na vinaelekezwa nini Cha kuripoti!

Kwa hali hiyo unategemea watawala wetu watulletee maendeleo sisi watanzania?

Jibu langu ni big NO.

Ni wazi kuwa watawala wetu, kipaumbele Chao Cha kwanza ni kuendelea kubaki madarakani FOR ANY MEANS
Katika mkutano mkuu wa hivi karibuni, uliofanyika kipindi nchi ikiwa na ukosefu wa maji na umeme, hawakuzingumzia kabisa mambo hayo zaidi ya kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao. Uko sahihi
 
Sasa kwa nini huwa hawafanyi huo uchaguzi halali??!
Jibu liko wazi.

Wanajua kuwa Katiba iliyopo, ndiyo inayowapa wao CCM uhakika wa kuendelea kubaki madarakani, kinyume Cha hapo Taifa litakapopata Katiba mpya, ambayo pia itaweka utaratibu wa kupata Tume huru ya uchaguzi, itakuwa ndiyo mwisho wa utawala wao
 
Watanzania sio wapuuzi kama mnavyodhani, yaani ni watu wanaodhani katiba mpya ndio priority yao.

Watanzania sio wapuuzi wasio elewa stirling wa kuwachomoa anaongea lugha gani.

Asilimia kubwa ya hoja za CDM na wapinzani ni mahitaji yao (personal issues), lakini si hisia za watanzania.

Sikiliza jina la Magufuli linapotajwa mbele ya watanzania ndio utaelewa wanataka nini. Halafu jikumbushe huyo mtu alivyokuwa anaongoza nchi hiko ndio watanzania wanataka.
Ilo jina likitajwa linatusaidiaje?.Hizo ni vibe tu wala hakuna cha maana.Inaonekana ata wewe hujielewi.
 
Kutokana na mlolongo wa matukio yanayotokea nchini, nimekuwa nikijiuliza Sana, je kipaumbele Cha CCM, ni kuendelea kubaki madarakani au ni kuwaletea maendeleo watanzania?

Kipaumbele Cha utawala wowote wa serikali ni kuwaletea maendeleo wananchi wake na kama wasipofanya hivyo, watajikuta wanapigwa chini katika uchaguzi unaofuata.

Hali ni tofauti Sana nchini kwetu, Kwa kuwa ndani ya nchi hii, katika utawala wa CCM kipaumbele Chao kikubwa ni kuhakikisha kuwa chama Chao Cha CCM kinaendekea kubaki madarakani, Kwa njia zozote zile, ziwe za haramu au hallali, lakini kubaki madarakani, ndiyo priority no one kwao!

Ipo mifano mingi, mmojawapi wa mifano hiyo ni kuwa Kwa kutumia vyombo vya dola, kuhakikisha kuwa chama kilichopo madarakani, kinaendekea kusalia madarakani miaka yote.

Hiyo hali haihitaji ushahidi, Kwa kuwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, enzi za utawala wa Mwendazake, Hayati Magufuli, Dkt Bashiru Ally, aliwahi kulikiri waziwazi, mbele ya vyombo vya habari kuwa chama chale Cha CCM, kitaendelea kutumia vyombo vya dola wakati wote, kuendelea kusalia madarakani!

Hebu tujiulize ni kwanini serikali ya CCM inapata "kigugumizi" kikubwa Sana kutengeneza Katiba mpya itakayoendana na mfumo wa vyama vingi?

Jibu liko wazi, kuwa kutengeneza Katiba mpya, itakayokidhi mfumo wa vyama vingi, itakuwa sawasawa na kujitia kitanzi wenyewe CCM!

Siyo Siri tena kuwa Katiba yetu ya nchi ni ya mfumo wa chama kimoja.

ni kwanini CCM iendelee kupata "kigugumizi" kuibadilisha Katiba hiyo?

Jibu liko wazi, wao CCM wanajua kuwa wakiobadilisha Katiba hiyo na kuleta Katiba itakayokidhi mfumo wa vyama vingi, ndiyo itakuwa mwisho wa utawala wao wa kidikteta.

Hebu tujiulize, inakuwaje Rais aliyeko madarakani, ambaye pia ndiyo Mwenyekiti wa chama tawala Cha CCM, kupewa madaraka makubwa mno ya kiuteua viongozi mbalimbali wa vyombo vya dola, kama Mkuu wa Jeshi nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jaji Mkuu, Wakuu wote wa Mikoa, wakuu wote wa wolaya, wakurugenzi wote wa wolaya (ambao ndiyo wasimamizi wakuu wa chaguzi mbalimbali kwenye maeneo yao)

Hivi Kwa kumpa madaraka makubwa kiasi hicho, ambayo ni sawasawa na kumfanya Mkuu huyo wa nchi awe dikteta, hivi nchi hii itawezaje kuifanya ipate maendeleo enddlevu?

Ndiyo maana siyo jambo la kishangaza hata kidogo Kwa nchi yetu, pamoja na kuwa tumepata huru wetu toka Kwa mkolloni zaidi ya miaka 60 hivi Sasa, nchi yetu Bado inakuwa na ukosefu wa mahitaji ya msingi wa Binadamu, ya Maji na Umeme!😎

Vyombo vya habari binafsi, ambavyo ndiyo tegemeo pekee lililokuwa limebaki Kwa watanzania, navyo vimetiwa "Kabali" na watawala na vinaelekezwa nini Cha kuripoti!

Kwa hali hiyo unategemea watawala wetu watulletee maendeleo sisi watanzania?

Jibu langu ni big NO.

Ni wazi kuwa watawala wetu, kipaumbele Chao Cha kwanza ni kuendelea kubaki madarakani FOR ANY MEANS
Thumuni kuu la chama cha siasa ni kuingia ikulu! Mengine baadaye! Hivyo dhumuni kuu la chama cha siasa kinapokuwa madarakani ni kubakia madarakani
 
Na sasa unadhani mambo murua au siyo.

Unacheza wewe.

Ignorance is a bliss

Muhimu ni kuelewa watanzania sio wapuuzi. Hayo mambo ya katiba mpya sio yao na hawana imani na viongozi wa upinzani.

Upinzani auwezi shinda uchsguzi ata wa haki, simply hawana majibu ya watanzania.
Mlamba asali wewe. Nyie ndio watu wazuri ambao hamtakufa.
 
Kipaumbele👇😁😁😁
16679078765645.jpg
 
Hebu tujiulize ni kwanini serikali ya CCM inapata "kigugumizi" kikubwa Sana kutengeneza Katiba mpya itakayoendana na mfumo wa vyama vingi?
Inajua wazi kuwa kwa uovu na ukatili wao ikiwepo katiba mpya ccm haichukui round kuwa chama cha upinzani!
 
Thumuni kuu la chama cha siasa ni kuingia ikulu! Mengine baadaye! Hivyo dhumuni kuu la chama cha siasa kinapokuwa madarakani ni kubakia madarakani
Siyo kweli........

Dhumuni kuu la chama kinachotawala duniani kote, ni kuwatumikia wananchi wake Kwa ufanisi mkubwa, hayo mengine yanafuatia
 
Tatizo lenu nyie ni wabishi. Mnalazimisha njozi zenu ziwe ni uhalisia. Uanaharakati unawazidi nguvu.

Narudia dhumuni Kuu la chama cha siasa ni kuingia Ikulu. Kikishaingia Ikulu ni kuhakikisha kinaendelea kutawala. Watu wenye mawazo mgando kama wewe ndiyo wanaangusha upinzani Tanzania. Huwezi kumshinda adui bila kumfahamu! Chadema inaangushwa na nyie wenyewe
 
Back
Top Bottom