Je, kipaumbele cha CCM ni kuendelea kusalia madarakani au ni kuwaletea maendeleo Watanzania?

Acha vijihadithi vyepesi weye!Mmekaa kama vichawi vile!Kwa hiyo mlikaa viuno juujuu mkisubiri marehemu atajwe ndiyo mpige vigelegele?Tumieni bongo.Haturudi nyuma.Na wala hatutambiki.Maisha yanasonga mbele.😂😂😂😂
 
Hivi bila Katiba mpya, itakayotuletea Tume huru ya uchaguzi, tutapata wapi maendeleo enddlevu Kwa watanzania?

Hicho ulichoeleza wewe ni propaganda tulizozizoea toka Kwa watawala Hawa wa CCM

Hebu tujaribu kuji-compare na nchi zilizo na Katiba za nchi, inayokidhi mfumo wa vyama vingi, ziko mbali Sana kiuchumi, tuchukulie mifano michache tu ya Afrika Kusini na Kenya
 
Acha vijihadithi vyepesi weye!Mmekaa kama vichawi vile!Kwa hiyo mlikaa viuno juujuu mkisubiri marehemu atajwe ndiyo mpige vigelegele?Tumieni bongo.Haturudi nyuma.Na wala hatutambiki.Maisha yanasonga mbele.😂😂😂😂
Wakati unashangilia itasaidia kama wewe ni wale wachangiaji wa kinyarwanda au kenya; ambao mnajificha kujifanya wapinzani huku amuitakii nchi mema.

Lakini kitaa Magufuli shujaa na wala katiba sio agenda yetu ya kitaa.
 
Ulikaa na nani mkaujadili huo ushujaa wa marehemu?Shujaa aliyeogopa hata kujibu orally hoja nyepesi za akina Ben Saanane,Lissu and the like?Mfalme juha?😂😂😂😂
 
Katiba mpya unayoitaka wewe, iwe na nini ambacho unadhani itasaidia upinzani.

Kwa sababu swala la time huru ni amendments za sheria; lakini sio issue ya kikatiba.
 
Katiba mpya unayoitaka wewe, iwe na nini ambacho unadhani itasaidia upinzani.

Kwa sababu swala la time huru ni amendments za sheria; lakini sio issue ya kikatiba.
Siyo kusaidia upinzani weye legelege wa akili!Haihitajiki katiba ya kukisaidia kikundi.Ni kwa mustakabali wa nchi.Na ndiyo mnajipitisha vichochoroni kudanganya watu huo uzushi wenu.
 
Acha ujinga wako!Lala!
 
Hali ni tofauti Sana nchini kwetu, Kwa kuwa ndani ya nchi hii, katika utawala wa CCM kipaumbele Chao kikubwa ni kuhakikisha kuwa chama Chao Chao Cha CCM kinaendekea kubaki madarakani, Kwa njia zozote zile, ziwe za haramu au hallali, lakini kubaki madarakani.
 
Afungue Samia wamwelewe magufuli? We hauko sawa
 
Siyo kusaidia upinzani weye legelege wa akili!Haihitajiki katiba ya kukisaidia kikundi.Ni kwa mustakabali wa nchi.Na ndiyo mnajipitisha vichochoroni kudanganya watu huo uzushi wenu.
Ndivyo wanavyotangaza propaganda zao, eti wapinzani wanalilia Katiba mpya!

Badala ya kusema watanzania wote wanaiitaka Katiba mpya, Kwa ajili ya mustskabali mzuri wa nchi yetu
 
Ndivuo wanavyotengaza propaganda zao, eti wapinzani wanalilia Katiba mpya!

Badala ya kusema watanzania wote wanaiitaka Katiba mpya, Kwa ajili ya mustskabali mzuri wa nchi yetu
Wanaeleweka kwa kujitahidi kueneza ujinga wao.They are nothing but savages!
 
Tusalie madarakani kwanza hayo mengine itajulikana mbele kwa mbele!!!
 
Tusalie madarakani kwanza hayo mengine itajulikana mbele kwa mbele!!!
Kwa Taifa lolote linalojali maendeleo ya watu wake, kuendelea kusalia madarakani siyo priority no one kwao.

Badala yake priority no one, no kuwaletea maendeleo wananchi wake
 
Sasa kwa nini huwa hawafanyi huo uchaguzi halali??!
 
Ni ujinga kufikiria kuwa katiba mpya ni kwaajili ya kumwingiza mtu fulani madarakani.

Katiba ni takwa la Watanzania kwa kadiri ya maelfu ya watu waliohojiwa na Tume ya jaji Warioba.

Ni ujinga na uhayawani wa watawala kuwa ni kigugumizi kusimamia umma wanachokitaka. Mtu yeyote mwenye dhamira njema na anayeipenda Tanzania hawezi kuogopa kataiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…