KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 2,083
- 2,183
Wakuu ushauri wenu muhimu.
Kuna jamaa kamaliza shahada ya uhandisi. Kwa bahati nzuri kapata kazi kakita kampuni mbili, kampuni ya kwanza ameahidiwa mshahara wa million moja na laki mbili baada ya makato yote, kampuni nyingine nimpya ndio inaanza inamwaka mmoja, ameambiwa na wamiliki wa kampuni kuwa, watamtrain baada yakumalia kumtrain, ataingia mzigoni.
Yeye atakuwa kama operation Manager, na atahusika katika kukuza kampuni, pale kampuni itakapoanza kuingiza pesa wataanza kumlipa mshikaji pesa yakutosha, sasa kanifaata nikiwa kwenye vibiashara vyangu binafsi akiomba ushauri, kiukweli nimeshindwa kumshauri. Nimemueleza aje jioni nimshauri vizuri nikiwa nimetulia, ili nije huku kuleta mada hii nikiwa na uhakika na ushauri ninaompa utakuwa wa manufaa huko mbeleni.
Kwenye kampuni mpya wamiliki niwafanyakazi wa serikali, kwahiyo yeye ndio atakuwa anafanya shughuri zakila siku za kampuni.
Aende kwenye kampuni mpya au yenye muda kidogo aanze lipwa mshahara mapema?