Je, kipi bora kati ya kufanya kazi kwenye kampuni inayoanza (mpya) au yenye muda kidogo?

Je, kipi bora kati ya kufanya kazi kwenye kampuni inayoanza (mpya) au yenye muda kidogo?

Avute pesa atulize kitenesi, raia wanadharau sana siku hizi usipokuwa na kazi. Ahadi zipo tu. Ila asisahau kuwa this is Tanzania, kampuni ikianza kutoa matunda wataletwa ndugu na rafiki wa karibu wa wamiliki na yeye atakuwa kakosa pesa na ahadi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom