MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Binafsi, Niko Kilimanjaro kikazi lakini hata ikitokea napata uhamisho usiku wa manane nasepa.
Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana.
Wafanyabiashara waliofanikiwa wapo ila mostly kwa njia kubwa NNE.
Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana.
- NI mkoa mdogo sana.
- Ni mkoa wenye idadi ndogo sana ya watu, mostly wazee.
- Ni mkoa wenye Ardhi ndogo, na inayofaa pia ni ndogo zaidi.
- Ni mkoa ambao huwezi kusema utafanya biashara kawaida, kulima au kufuga kirahisi.
- Ni mkoa ambao huwezi kusema Kama mfanyakazi Utajenga nyumba uishi.
Wafanyabiashara waliofanikiwa wapo ila mostly kwa njia kubwa NNE.
- Kuingiza bidhaa za magendo kutoka Kenya ( hasa sukari na Mafuta ya kula)
- Mirungi ( Hizi biashara 2, mgeni huwezi kujihusisha nazo, utauzwa asubuhi tu)
- Biashara halali zenye mitaji mikubwa na zilizoanza kitambo.
- Uchume kutoka mikoa mingine halafu uje kujenga huku.