Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

Mkuu, hata uiijiajiri nchi hii huna huo Uhuru [emoji817].

Tunaishi nchi hii na tunaijua vizuri na biashara tushafanya sana.

Kwa taarifa yako, Mimi ni mkaguzi kwahiyo hizo biashara kila siku nakagua ndio kazi yangu. Biashara zetu nyingi ni HAND to MOUTH.
Mkuu labda biashara yako huna mtaji wa kutosha kukutengenezea faida ya kutosha mkuu, njoo hapo uwekeze kwenye viatu vya kichina kutoka China mzigo wa 50m utaingiza sio chini ya 20m kwa wiki mbili hiyo ni pesa ya hand to mouth kweli?
 
Level ya kazi unazozungumIa ni level ya juu sana , na sio average ya kazi zinazopatikana.
Nilitamani usikie stori za walimu wanavyonyanyasika na maafisa elimu wa wilaya , utadhani miungu watu
Halafu job description nalo ni neno pana, linaweza kutumika kukubana pia wewe muajiriwa ukqjikuta unaanza kuabudu watu
Mimi nimefanya kazi ya ulinzi, na nilikuwa nafungia nje mpaka wanaojiita maboss.


Nimewahi kufanya kazi ya ualimu, nilichoma lesson plan na scheme of work nikaacha kazi.

Mtu kama ni mlevi, huhudhurii kazini, hutekelezi wajibu wako wa kimkataba lazima uwe CHAWA na kuabudu abudu watu ili ulindwe.

Hivi Kama wewe ni Mwalimu, unaamka unafika kazini saa 1:30 unasaini, saa9:30 unatoka.

Lesson plan na scheme of work unaandika.

Huyo Afisa Elimu anakuja kukusumbua kwa kipi??

Tatizo kubwa la Wabongo ni WAOHQ sana bila sababu za msingi.

Yaani mtu anaogopa tu FOR NO REASON. Tena sometimes mtu anauemuogopa na yeye yuko abode na sheria zile zile Kama yeye.

Ujinga tu.

Job descriptions ni maelezo mafupi tu yanayoeleweka.

Sehemu pekee ambao huwa wanaitumia Kudanganya wafanyakazi ni kipengele Cha "na shughuli nyingine utakazopangiwa na mkuu wako wa kazi" ambacho ni kipengele wanachokuwa wanatoa tafsiri ya kijinga tu.
 
Mkuu labda biashara yako huna mtaji wa kutosha kukutengenezea faida ya kutosha mkuu, njoo hapo uwekeze kwenye viatu vya kichina kutoka China mzigo wa 50m utaingiza sio chini ya 20m kwa wiki mbili hiyo ni pesa ya hand to mouth kweli?
50M siyo mtaji wa biashara ya kawaida.

Asilimia kubwa ya mitaji ya Watanzania wengi ni Kati ya 200K-20M
 
Acha uongo,lazima uwaabudu wateja wako,tena sana!!
Mkuu unaweza kumkataa boss? , Sawa kuna mikataba , hakuna siku unaenda tofauti na huo mkataba kwa bahati mbaya ? Halafu unategemea huruma ya mtu?
Kwenye kujiajiri hakuna mambo hayo.
 
Mtu akikunyima uhuru wako wa kuishi unako taka freedom of movement ni sawa sawa amekunyima 50%ya opportunity kupata pesa na furaha, napenda sana kujiajiri sio rahisi mtu kunishawishi kuajiliwa na hi mishahara ya 500k to 2m. Siwezi hata unipa bima ya afya mara usafiri nyumba siwezi, my freedom is more precious than money.
Hongera kwa kujiajiri.

Unachotakiwa kukumbuka ni kuwa, sio watu wote wanaweza kujiajiri; na sio wote wanaweza kuajiriwa.

Wewe uliyejiajiri kuna waajiriwa bado utawahitaji. So kama hakuna watu walio tayari kuajiriwa, hiyo ajira yako binafsi pia haitafikia malengo.

Hata waajiriwa pia wanahitaji waajiri wawepo, na ikibidi waongezeke ili kila mwenye nia ya kuajiriwa, apate ajira.

That's how things work out.
 
50M siyo mtaji wa biashara ya kawaida.

Asilimia kubwa ya mitaji ya Watanzania wengi ni Kati ya 200K-20M
Hahaha biashara ya 200k kwa 1m ni biashara au ujasiriamali wanao jifunza biashara?
 
Hahaha biashara ya 200k kwa 1m ni biashara au ujasiriamali wanao jifunza biashara?
Na hao ndio Watanzania wengi.
Ukishakuwa na mtaji wa at least 100M ndio unaweza kuanza kuonja UHURU, maana unaweza kuajiri vibarua wa kukusaidia kazi.
 
Acha uchagani...hata town hapa washkaji wa kichaga hawaeleweki. Wanapigo zilezile za wazee wao, wanabahat ya kupata kazi kwasababu wengi wamesoma ila hawaelimiki wanaleta maisha ya keshumundu hapa mjini. Mfano kijana kabisa unakuta kakaa kimara analamba mbege....pili, huez kuta mshkaj wa kichaga anaujamaa na mgoni....ni wao kwa wao na wanajazanaga ujinga wa utajiri wa kununua bodaboda na kunuNua viwanja vya mil.2
Wana ukabila sana 😅 sisi tunamijengo miwil moshi,ila mie nimejenga dizimu, mdogo wangu mmoja mwanza,mwingine kaweka kambi geita, moshi ni kutembea Kama makazi ya family tu
 
Back
Top Bottom