Level ya kazi unazozungumIa ni level ya juu sana , na sio average ya kazi zinazopatikana.
Nilitamani usikie stori za walimu wanavyonyanyasika na maafisa elimu wa wilaya , utadhani miungu watu
Halafu job description nalo ni neno pana, linaweza kutumika kukubana pia wewe muajiriwa ukqjikuta unaanza kuabudu watu
Mimi nimefanya kazi ya ulinzi, na nilikuwa nafungia nje mpaka wanaojiita maboss.
Nimewahi kufanya kazi ya ualimu, nilichoma lesson plan na scheme of work nikaacha kazi.
Mtu kama ni mlevi, huhudhurii kazini, hutekelezi wajibu wako wa kimkataba lazima uwe CHAWA na kuabudu abudu watu ili ulindwe.
Hivi Kama wewe ni Mwalimu, unaamka unafika kazini saa 1:30 unasaini, saa9:30 unatoka.
Lesson plan na scheme of work unaandika.
Huyo Afisa Elimu anakuja kukusumbua kwa kipi??
Tatizo kubwa la Wabongo ni WAOHQ sana bila sababu za msingi.
Yaani mtu anaogopa tu FOR NO REASON. Tena sometimes mtu anauemuogopa na yeye yuko abode na sheria zile zile Kama yeye.
Ujinga tu.
Job descriptions ni maelezo mafupi tu yanayoeleweka.
Sehemu pekee ambao huwa wanaitumia Kudanganya wafanyakazi ni kipengele Cha "na shughuli nyingine utakazopangiwa na mkuu wako wa kazi" ambacho ni kipengele wanachokuwa wanatoa tafsiri ya kijinga tu.