ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
YeahSingida mjini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YeahSingida mjini?
Kuabudu mteja ni tofauti na kumuabudu boss .Acha uongo,lazima uwaabudu wateja wako,tena sana!!
MtwaraLindi au Mtwara?
Siyo kihivyo ....shida ya hapo mzunguko wa pesa mdogo.... population hakuna ya kutosha ...hamna shughuli (ajira ikiwemo viwanda) ...vya kuita watuNasikia Masasi pako vizuri
Wivu utakuua mtoa mada, wachaga watani zangu tunawaona nchi nzima, wanakunywa na wanajenga kwao, wewe endelea na Imani zako potofuAcha uchagani...hata town hapa washkaji wa kichaga hawaeleweki. Wanapigo zilezile za wazee wao, wanabahat ya kupata kazi kwasababu wengi wamesoma ila hawaelimiki wanaleta maisha ya keshumundu hapa mjini. Mfano kijana kabisa unakuta kakaa kimara analamba mbege....pili, huez kuta mshkaj wa kichaga anaujamaa na mgoni....ni wao kwa wao na wanajazanaga ujinga wa utajiri wa kununua bodaboda na kunuNua viwanja vya mil.2
Pole Sana Lindi town hamna mishe kabisa yaan mtumishi utageuka kuwa mlevi tu na mngonokajiLindi town ufala SGD nimezoea Nina Mali sana
Hakuna kitu kama hicho mkuu mimi nimchaga asilimia 100 marafiki zangu wengi wa kanda ya ziwa na wengi tu nmewapa michongo na wao wakanipa michongo, kuangaliana kikabila ni ushamba uliopitiliza.Acha uchagani...hata town hapa washkaji wa kichaga hawaeleweki. Wanapigo zilezile za wazee wao, wanabahat ya kupata kazi kwasababu wengi wamesoma ila hawaelimiki wanaleta maisha ya keshumundu hapa mjini. Mfano kijana kabisa unakuta kakaa kimara analamba mbege....pili, huez kuta mshkaj wa kichaga anaujamaa na mgoni....ni wao kwa wao na wanajazanaga ujinga wa utajiri wa kununua bodaboda na kunuNua viwanja vya mil.2
Ukiwa mtu kutoka nje ya uchagani una weza kufanikiwa kirahisi sna ,kama utaweza kuendana na wachaga kuliko mwenyeji , wachaga wanatabia ya kumkubali mgeni anaewakubali ,mimi nimchaga nakifahamu kiundani ninachokisema.Binafsi, Niko Kilimanjaro kikazi lakini hata ikitokea napata uhamisho usiku wa manane nasepa.
Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana.
- NI mkoa mdogo sana.
- Ni mkoa wenye idadi ndogo sana ya watu, mostly wazee.
- Ni mkoa wenye Ardhi ndogo, na inayofaa pia ni ndogo zaidi.
- Ni mkoa ambao huwezi kusema utafanya biashara kawaida, kulima au kufuga kirahisi.
- Ni mkoa ambao huwezi kusema Kama mfanyakazi Utajenga nyumba uishi.
Singida wilayani ganiNiko Lindi ila natamani kurudi SGD kwetu
TownSingida wilayani gani
Kufanikiwa kufanyaje?Ukiwa mtu kutoka nje ya uchagani una weza kufanikiwa kirahisi sna ,kama utaweza kuendana na wachaga kuliko mwenyeji , wachaga wanatabia ya kumkubali mgeni anaewakubali ,mimi nimchaga nakifahamu kiundani ninachokisema.
Kweli kabisaaMtu akikunyima uhuru wako wa kuishi unako taka freedom of movement ni sawa sawa amekunyima 50%ya opportunity kupata pesa na furaha, napenda sana kujiajiri sio rahisi mtu kunishawishi kuajiliwa na hi mishahara ya 500k to 2m. Siwezi hata unipa bima ya afya mara usafiri nyumba siwezi, my freedom is more precious than money.
Mamlaka husika zimuamishie Mkoani LINDIBinafsi, Niko Kilimanjaro kikazi lakini hata ikitokea napata uhamisho usiku wa manane nasepa.
Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana.
- NI mkoa mdogo sana.
- Ni mkoa wenye idadi ndogo sana ya watu, mostly wazee.
- Ni mkoa wenye Ardhi ndogo, na inayofaa pia ni ndogo zaidi.
- Ni mkoa ambao huwezi kusema utafanya biashara kawaida, kulima au kufuga kirahisi.
- Ni mkoa ambao huwezi kusema Kama mfanyakazi Utajenga nyumba uishi.