Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

Duuuh mm nipo mikoa ya kusini Mvua za huku ni 'unga unga mwana' aisee jua kali joto....dadeki ila maeneo yapo
 
Wivu utakuua mtoa mada, wachaga watani zangu tunawaona nchi nzima, wanakunywa na wanajenga kwao, wewe endelea na Imani zako potofu
 
Kuajira ni hatua moja, kuhamia sehemu unayoipenda ni hatua nyingine.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu mimi nimchaga asilimia 100 marafiki zangu wengi wa kanda ya ziwa na wengi tu nmewapa michongo na wao wakanipa michongo, kuangaliana kikabila ni ushamba uliopitiliza.
 
Ukiwa mtu kutoka nje ya uchagani una weza kufanikiwa kirahisi sna ,kama utaweza kuendana na wachaga kuliko mwenyeji , wachaga wanatabia ya kumkubali mgeni anaewakubali ,mimi nimchaga nakifahamu kiundani ninachokisema.
 
Ukiwa mtu kutoka nje ya uchagani una weza kufanikiwa kirahisi sna ,kama utaweza kuendana na wachaga kuliko mwenyeji , wachaga wanatabia ya kumkubali mgeni anaewakubali ,mimi nimchaga nakifahamu kiundani ninachokisema.
Kufanikiwa kufanyaje?

Maana hakuna Cha maana Cha kufanya, in short.
 
Watumishi wakibongo kwa ujumla ni viazi tu no matter what, yani unakuta jamaa anakitambi mpaka kutembea hawezi ukiuliza ana kazi gani unaambiwa askari maaneeneer yani uwezo wa kufikiria umeondoka kabisa mtu unalipwa lakitano baada ya makato na una wake wanne na una kitumbo, my way , yule aliyesema watanzania wengi ni vichaa hakukosea kabisaaaa, Kimsingi mishe binafsi ndio zinakutoa wala sio location uliyopo, napingana na mtoa uzi kabisaaa huko kilimanjaro wapo weengi wametoboa lakini sio kwa kuajiriwa na mama samia . UTUMISI wa Umma ni utumwa.
 
Kweli kabisaa
 
Mamlaka husika zimuamishie Mkoani LINDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…