Je, kiusalama, kuvaa vest ya kuzuia risasi, na kuacha kichwa, ambayo ni sehemu hatari zaidi, ikiwa wazi, mtu anakuwa amejilinda?

"Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari"!
Hongera mwenzetu ambaye moyo wako umo ndani ya kichwa. Jambo lolote likifanywa na mfuasi wa Chadema huonekana ni kituko japo lipo siku zote na linatumika.
 
ogopa mtu anayeweza kulenga kitu akapiga kwa kutumia bunduki(risasi)
Ili upige kichwa utaratibu wa range hulengi hicho kichwa lazima uibinye kidogo kuelekea chini ya kichwa ...huo MUDA yeye LISu atakuwa anakusubiria ulenge hivyo

Rejea sativa ,unadhani alilengwa apigwe shingoni hapana Ile ilikuwa kichwani .....kwa ujumla kichwa ngumu sana kukipata muvi za stalon Rambo sisikudanfanye
 
"Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari"!
Hongera mwenzetu ambaye moyo wako umo ndani ya kichwa. Jambo lolote likifanywa na mfuasi wa Chadema huonekana ni kituko japo lipo siku zote na linatumika.
Ikipita risasi ikapiga ubongo, uwezekano wa kufa ni asilimia mia
 
Watu wengi hupigwa risasi kifuani si kichwani kwa sababu ni rahisi kulenga kifua kuli kichwa kutokana na small target surface area.
 
Swali lako zuri kwa technologia ya sshv watu wanakuzoom tu wanakubatua bullets proof zimepitwa na wakati
 

Nenda kwenye mafunzo ya kulenga Shabaha uone ilivyokazi kulenga kichwani.

Pia kichwa kinakuwa na movements za hapa na pale tofauti na kifuani

Kupiga kichwani inahitaji mtu mbobezi wa Shabaha kama Mimi.
 
Wanasema kulenga kichwa ngumu sana
 
Mkuu,Kwanza Kujilinda ni atua kwa hatua.Headshot huwa ni ngumu sana kumpata mtu.Ofcourse unaweza kuvaa helmet ama kuna tishio la wazi ila kwa sasa avae tu hiyo VEST aizoee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…