Je, Kobe Bryant alikuwa sahihi kumkiss mdomoni mwanae wa kike?

Je, Kobe Bryant alikuwa sahihi kumkiss mdomoni mwanae wa kike?

Burnaboy

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2019
Posts
1,070
Reaction score
1,439
Mjadala mkali umezuka mitandaoni kuhusu tabia ya Kobe Bryant kum-kiss mdomoni hadharani mwanae wa kike, Gianna.

Je, Kobe alikuwa sahihi kumfanyia hivi mwanae?

Wawili hawa wamefariki dunia kwenye ajali 26/01/2020.
20200130_013053.jpg
20200130_013135.jpg
 
Back
Top Bottom