Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima kutakuwa na tatizo
Hata huyo binti alikuwa haelewani na mama ake
Sent using Jamii Forums mobile app
Pede tuifwa..Muda wote anazungumziwa yeye na mwanae, sijasikia habari za mke wake(mama mtoto), mama wa mwanaye yupo wapi? nijuzeni mnaojua
Sio kwa wazungu wote mkuu,labda baadhi tu na watakuwa wana sababu zao wanazozijiua wao,kumbuka hiyo inavoonekana ni deep kiss,yaani wananyonya,hii sio kawaida...Mambo ya Mahaba
Kawaida Kwa Wazungu mkuu
Mjadala mkali umezuka mitandaoni kuhusu tabia ya Kobe Bryant kum-kiss mdomoni hadharani mwanae wa kike, Gianna.
Je, Kobe alikuwa sahihi kumfanyia hivi mwanae?
Wawili hawa wamefariki dunia kwenye ajali 26/01/2020.View attachment 1340336View attachment 1340337
Wahaya sisi ni jambo la kawaida tu.Mzazi kwa mtoto busu sio dhambi ila walau unampiga busu la graduesheni lile a.k.a shavuni!
Kwangu mie busu la mdomo linaamsha hisia za romance na naona ni nzuri for romantic occassions. Mtu na mpenziwe hivi! I stand to be corrected in this.