Je, Kobe Bryant alikuwa sahihi kumkiss mdomoni mwanae wa kike?

Je, Kobe Bryant alikuwa sahihi kumkiss mdomoni mwanae wa kike?

Kaacha mke mmoja na watoto watatu wakike,mke ni mlatino au kwa sie tunasema mzungu,mara chache mno wajane wa huko kujiselfie misibani labda tutamuona siku ya mazishi.
Sijasikia kuwa marehemu kaacha mjane na watoto kadhaa. Hata picha ya mkewe akiwa kwenye majonzi sijaiona mitandaoni, jambo ambalo si kawaida kwa watu maarufu kama kobe.
 
Huyu atakuwa Mnaija anasema ni adhabu kwao anasahau kuwa kwenye hiyo ndege kulikuwa na kocha wa base ball, akiwa na mke wake na mtoto pia nao wamefariki na kuacha watoto wao wawili wengine wadogo. Sasa na hao wamepewa adhabu kwa kosa gani au nao walikuwa wanabusiana?
Muda mwingine mawazo ya kibinadamu bwana yanashangaza.
Na kwanini hawakulijadiri akiwa hai mpaka wamesubiri amekufa
 
Huyu atakuwa Mnaija anasema ni adhabu kwao anasahau kuwa kwenye hiyo ndege kulikuwa na kocha wa base ball, akiwa na mke wake na mtoto pia nao wamefariki na kaucha watoto wao wawili wengine wadogo. Sasa na hao wamepewa adhabu kwa kosa gani au nao walikuwa wanabusiana?
Muda mwingine mawazo ya kibinadamu bwana yanashangaza.
Na kwanini hawakulijadiri akiwa hain mbaka wamesubiri amekufa
Kweli mkuu, huyu yemi mnigeria alieanzisha mjadala angekuwa na mashiko kama ajali ingeua hao walengwa tu....

Ila hata kama ajali isingetokea hili tendo ni sawa?
Binafsi naona poa tu kama mtoto bado mdogo tuseme hadi miama 7-8. Ila binti alishakua na kuanza kufaham uke wake na kuanza kupata hisia za ki mapenzi (sexual) naona si sawa kum-kiss mdomoni!!
 
Mimi vyovyote vile awe mtoto mdogo au mkubwa kumpiga kiss ya hivyo no..
Kiss ya shavu na paji la uso sawa
 
Nafikiri haifai kabisa kumkisi mtoto mdomoni kwani tuna bacteria wengi mdomoni ambao wanaweza kumpa maradhi mtoto
Pia sio vizuri kuanza kumfundisha mtoto hivyo halafu baadae ukimkuta analiwa denda unaanza kulalama wakati chanzo ni wewe
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

Sent from my iPhone using Tapatalk
Halafu mbona mtoto ndo alichukua nafasi ya mke kwa kiasi kikubwa?

Kila mahali Kobe yuko na huyo binti, mara wamekumbatiana, kissing nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo binti ndio mtoto peke yake aliekuwa anapenda baba yake anachokipenda... basketball.. ndio maana walikuwa wanapendana na kufatana.. watoto wengine wa kobe na hata mama yao hawakuwa wanapenda basketball kama huyo binti.. na picha nyingi za kobe na huyo binti ni kwenye mambo ya basketball.. na hata ajali walipata kwenye safari ya kwenda kucheza basketball.. binti alikuwa anaenda kucheza na kobe alikuwa anaenda kuwa coach wa timu ya binti yake

Back
Top Bottom