Sijasikia kuwa marehemu kaacha mjane na watoto kadhaa. Hata picha ya mkewe akiwa kwenye majonzi sijaiona mitandaoni, jambo ambalo si kawaida kwa watu maarufu kama kobe.
TakbiiirHao Wazungu usilete umatumbi wako, hiyo ni kawaida sana.
Huyu atakuwa Mnaija anasema ni adhabu kwao anasahau kuwa kwenye hiyo ndege kulikuwa na kocha wa base ball, akiwa na mke wake na mtoto pia nao wamefariki na kuacha watoto wao wawili wengine wadogo. Sasa na hao wamepewa adhabu kwa kosa gani au nao walikuwa wanabusiana?
Kweli mkuu, huyu yemi mnigeria alieanzisha mjadala angekuwa na mashiko kama ajali ingeua hao walengwa tu....Huyu atakuwa Mnaija anasema ni adhabu kwao anasahau kuwa kwenye hiyo ndege kulikuwa na kocha wa base ball, akiwa na mke wake na mtoto pia nao wamefariki na kaucha watoto wao wawili wengine wadogo. Sasa na hao wamepewa adhabu kwa kosa gani au nao walikuwa wanabusiana?
Muda mwingine mawazo ya kibinadamu bwana yanashangaza.
Na kwanini hawakulijadiri akiwa hain mbaka wamesubiri amekufa
Mimi vyovyote vile awe mtoto mdogo au mkubwa kumpiga kiss ya hivyo no..Kweli mkuu, huyu yemi mnigeria alieanzisha mjadala angekuwa na mashiko kama ajali ingeua hao walengwa tu....
Ila hata kama ajali isingetokea hili tendo ni sawa?
Binafsi naona poa tu kama mtoto bado mdogo tuseme hadi miama 7-8. Ila binti alishakua na kuanza kufaham uke wake na kuanza kupata hisia za ki mapenzi (sexual) naona si sawa kum-kiss mdomoni!!
Umatumbi wa wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao Wazungu usilete umatumbi wako, hiyo ni kawaida sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakua kwa mwajuma ndala ndefuMjadala huo umezuka wapi, USA au kwa mfuga mbwa?
Walimwengu hao...Huyo alie andika is As if she won't die, like she will live forever, her comment is dumb as f**ck
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwajuma ndala ndefu wapi hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakua kwa mwajuma ndala ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada taratibu taratibu!Huyo alie andika is As if she won't die, like she will live forever, her comment is dumb as f**ck
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima kutakuwa na tatizoSijasikia kuwa marehemu kaacha mjane na watoto kadhaa. Hata picha ya mkewe akiwa kwenye majonzi sijaiona mitandaoni, jambo ambalo si kawaida kwa watu maarufu kama kobe.
Halafu mbona mtoto ndo alichukua nafasi ya mke kwa kiasi kikubwa?Nafikiri haifai kabisa kumkisi mtoto mdomoni kwani tuna bacteria wengi mdomoni ambao wanaweza kumpa maradhi mtoto
Pia sio vizuri kuanza kumfundisha mtoto hivyo halafu baadae ukimkuta analiwa denda unaanza kulalama wakati chanzo ni wewe
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Sent from my iPhone using Tapatalk
Halafu mbona mtoto ndo alichukua nafasi ya mke kwa kiasi kikubwa?
Kila mahali Kobe yuko na huyo binti, mara wamekumbatiana, kissing nk
Sent using Jamii Forums mobile app