Je, kuachiwa Uamsho na kukamatwa Mbowe kwa Ugaidi Kuna athari kiimani?

Beatrice hivi viatu ulivyovaa vinakupwaya...vaa vya kwako.

Btw, Beatrice original alikuwa anapambana sana na katiba mpya , hata wakati wa kuaga ndio ilikuwa agenda yake kuu.
Huu utofauti kati yako na yule wa mwanzo unaacha mashaka makubwa.
 
Miezi kadhaa nyuma alikaririwa Mtumishi wa mungu Apostle au prophet Rolinga akiwaambia wauminj wake waombe juu ya nchi yetu na dhana potofu ya udini, sikupenda kuamini sana kile alichokihubiri clip zipo you tube fuatilia Omega church by Rolinga.

Dhana ambayo inaanza kuibuka ni kwamba dini fulani imeanza kuwekwa pembeni, ina minywaminywa Mbowe ni Kiongozi mkubwa wa upinzani, dhana nyingine ni ya wachaga kuanza kusakamwa hii ikianza toka enzi za mwendazake.

Nadhani kama Taifa wanaohusika na hili wajitahidi mtuhumiwa kama kuna ushahidi apelekwe mahamakamani na hatima yake ijulikane liishe mapema. Kwa maoni yangu hili suala linaibua udini na ukabila na tusijidanganye kwamba hizi hoja haziwezi kuungwa mkono na dini ya mbowe wote kwa ujumla wao ni suala la muda tu. Bahati mbaya sasa hivi dini ya mashariki ya kati ndio imeshika usukani ni vema ikajitenga na hizi dhana.

Napenda nimsikie Nabii Mwingira pia akiongelea haya yanayoendelea kiroho zaidi. Maana yule huwa hapepesi maneno. Apostle Temba alitabiri pia kwamba 2026 Inshaalah tutapata Latiba mpya nani atarahisisha ipatikane haijajulikana bado lakini alisema like it or not 2026 katiba mpya mezani by grace pf god tunatamani tuipate ili kiasi fulani tuweze kuwa na visible accountability and fair rights to all citizens.

Pendekezo langu katiba iseme wazi nani anaweza kuwasha kingora akaskip foleni huku sisi tunasubiri taa ziwake tupite.
 
Naomba nikusaidie kwa ufupi, niliyoandika hapa ndiyo yanayojadiliwa mitandaoni, hakuna sehemu Kiongozi atasifiwa kwa kukwepa kutenda haki. Naamini unaona mjadala unaoendelea udini,ukabila na ukanda,. Hayajaanza leo haya yameanza wakati wa JK tulipowaita wakina Lwakatare Magaidi, from there atujawahi kutubu Bali tuliendelea kutumia hii mbinu kukandamiza watu. Si dhana nzuri wenzetu Kenya wanajua athari za kuchanganya siasa na mambo ya ugaidi. Unawajengea roho mbaya unaowaongoza hasa pale wanaprove kwenye moyo wao kwamba hii dhana haipo ila inatumika kunyima watu haki
 
Acha kuhusisha watu wasiohusika hapa hoja ni Mbowe Freeman ambaye ni Gaidi watu wengine uliowataja hawahusiki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo Mimi naamini,wewe ujuzi wako kwenye Masuala ya kiusalama unaujuzi gani?Kama Neema alimuwasha Mpenzi wake,Kule Bar Risasi wameuwana nini kinakutia shaka kwa Mbowe wakati nayeye ni Binadam na anahulka Kama Wengine tu.
 
Mi mkristo ila Mbowe ni Gaidi na alicheleweshwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Serikali ishughulikie magaidi Tz bila ugaidi inawezekana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani UGAIDI ni nini hasa ? Yaani maana ya Ugaidi.
 
Beatrice Kamugisha umefufuka? Karibu sana.

Huyu bibi kwa hakika ni mdini. Kaachia waislamu wenzake Sasa anakamata wakristo.
Sifa moja kuwa Mkristo ni kutokuwa mkweli. Hili linaonekana sana kiutendaji. Sifa nyingine ni kulalama,kadhalika sifa nyingine ni kuona wao wanaonewa,tena sofa myingine ni wao wawafanyie mabaya wenzao ila wasofanyiwe,hapa natumia msemo wa Kiswahili usemao "Kunya anye kuku akinya bata amehara". Hamkujaaliwa uadilifua WAKRISTO.
 
Vyombo visifumbie macho magaidi Gaidi ni Gaidi tu haijalishi kabila au dini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mlitaka avuruge nchi yetu achekewe huyu mtu akae jela angalau miaka kumi kwanza

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tuendako sio salama Kama watawala hawatakuwa making. Kumuita mtu gaidu na si gaidu NI hatari. Kutawala Kwa mbinumbinu nikubaya Sana. Utawala mzuri NI ule mtu anatawala kufuata wananchi kipi wanahutaji na kipi hawahitaji.
 
Mboe mambo mengine hua anajitakiaga mwenyewe...
 
Hakuna

Mbowe sio kiongozi wa dini
 
Beatrice Kamugisha umefufuka? Karibu sana.

Huyu bibi kwa hakika ni mdini. Kaachia waislamu wenzake Sasa anakamata wakristo.
Sexless acha utumbo na makange, hao uhamsho walikamata toka kipindi cha JK sasa Jk ni dini gani??? ebu jaribu kushikilia uchi wako wakati unawasilisha jambo. mbowe kukamatwa sio stori tena sababu imezoeleka unataka kunambia alipokamatwa wakati wa JPM mbona hakuleta mada za udini...achana na hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…