Je kucha zako zaweza Kutumika kukuloga

Je kucha zako zaweza Kutumika kukuloga

Habari.

Kuna watu wanadai mtu yoyote akifanikiwa kupata kucha zako anaweza kukufanyia akuloge kwa jinsi atakavyotaka

Mfano.
Kama ni hitaji la Mapenzi basi hutakua na uamuzi wa kumkatalia huyo alichukua kucha zako.

Je Kuna Ukweli wowote Kuhusu hili?

Ulipozipata hizi taarifa kwann hukuuliza ukweli wake au ndo kututangazia kuwa we ndo mtaalam wa kijiti?
 
Sijawahi kuwaza kuhusu hiyo mambo na sifikiri kama kuna uchawi wakuniyumbishia maamuzi yaliyotoka kwenye kichwa changu aisee yaani kwenye hapana kuwe ndiyo mmmh!!! impossible .

Umekatwa kucha na mchepuko waru waru nini arifu mbona nikama heartbeat yako ni kama haiko normal mazee.

Achia Mungu bhana.
 
Hili jukwaa thread zake nyingi kama sio maswala ya uchawi,basi itakuwa kuyaita majini au kumkataa MUNGU
 
Dah we acha tu mkuu.Kuna kithread nimekutana nacho jamaa anaelkeza jinsi ya kuliita jini.Hatari sana hii

hizo tu mbona ndio sehemu yake humu, , , theaf nyingine mpaka ukiisoma unaamua kuishia njiani
 
hizo tu mbona ndio sehemu yake humu, , , theaf nyingine mpaka ukiisoma unaamua kuishia njiani

Hahaha unadhani hiyo kuita jini niliimaliza basi,niliipotezea maana unaweza kustuka ushaliita kipindi unasoma
 
Hahaha unadhani hiyo kuita jini niliimaliza basi,niliipotezea maana unaweza kustuka ushaliita kipindi unasoma

hahaha uliwaza kama mimi .. unaweza ukawa unasoma kumbe ndio unayaita hivyo
 
ndo maana madafu yanazidi kudondoka tu huku dola ikizidi kupaa
 
Kwa kifupi kucha zako, nywele, nguo na jina la mama yako mzazi ni vitu ambavyo ni rahisi sana kutumika kukuloga bila kusahau udongo mahali ulipokanyaga.
 
Habari.

Kuna watu wanadai mtu yoyote akifanikiwa kupata kucha zako anaweza kukufanyia akuloge kwa jinsi atakavyotaka

Mfano.
Kama ni hitaji la Mapenzi basi hutakua na uamuzi wa kumkatalia huyo alichukua kucha zako.

Je Kuna Ukweli wowote Kuhusu hili?
Kucha zako mwenyewe zinatumika kwa ubaya na kwa uzuri inategemea vile utakavyotumia. Kucha zako ka ikiwa kuna aduwi yako anakutafuta huwa anatafuta kucha zako mate yako nywele zako na nguo yako akisha vipata hivyo vitu vyote umekwisha huna ujanja tena atakuroga na kukufanya anavyotaka na utadhurika na hata kufariki dunia ugopa sana hivyo vitu vyako kuwa navyo aduwi wako.ş

upo Dada? ulipotea majukwaani au tulipishana Jukwaa nini
michango yako niliikosa
km ni kweli sasa hawa vijana wanaowakata kucha za miguuni na kupakaa rangi si watawabeba Dada zetu kwa foleni ? maana wanapowapapasa miguu yenu ya bia eti kukata kucha tu? huwa siridhiki na mm namuongezea MziziMkavu adadavue
Vipi Mkuu Ukwaju Hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
Hili jukwaa thread zake nyingi kama sio maswala ya uchawi,basi itakuwa kuyaita majini au kumkataa MUNGU

Hahahaaa! Watu mko deep sana. Hili jukwaa ni waru waru sana! Mara kuzima mshumaa kwa kope za macho, mara kuongea na maiti, yaani alimradi kuchanganya habari!
 
Hahahaaa! Watu mko deep sana. Hili jukwaa ni waru waru sana! Mara kuzima mshumaa kwa kope za macho, mara kuongea na maiti, yaani alimradi kuchanganya habari!

Dah yani sometimes nashindwa hata kujua lengo lao ni lipi.Wengine thread zao ngumu alafu ukiwauliza maswali wanakuwa wakali,so inabidi mtu uwe mpole.Maana kama thread yake inakutisha,yeye mwenyewe itakuwaje??
 
Mkuu MziziMkavu, kumradhi kwa madhila yalokufika kwa post yangu, lengo l ilikuwa ni kuwa kudadisi ni kwanini at first place uliitwa kuchangia. Kumradhi sana
Uwe na heshima katika kuzungumza na watu usitafute kupata umaarufu kupitia mgongo wangu tafadhali sana jiheshimu nina kuheshimu usinitaje taje tena tafadhali sana umeniudhi sana leo nimekusamehe usirudie tena kuni Tag na kuleta Pumba zako. Futa ujumbe wako ulisema kuw amimi ni mlozi tafadhali sana.
 
Back
Top Bottom