Kuna ute ute huwa unatoka katika uume bila mwanaume kujua, ute huo unabeba mbegu za kiume na unaweza kusababisha mimba kwa mwanamke.
Kwahiyo endapo utafanya nae akiwa katika siku zake za hatari kuweza kupata mimba unaweza kumsababisha ujauzito licha ya kwamba unamwaga nje kwakuwa wewe utatambua pale tu unapopata hisia kuwa waarabu wanashuka kumbe kuna wasafisha njia walishatangulia pasi na kukujuza.
Ila kumbuka pia wapo wanawake wanapokaribia kufika orgasm huwa wanatabia ya kukung'ang'ania,sasa waweza kujikuta mnafika sawa kileleni naye akakushika ipasavyo na ni Siku njema kwake ukakuta kitu imo ndani. Be prepared,