Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

Una moyo sana kijana manake mimi naionaga ni kama kujichua flani hivi manake unapokaribia kumaliza lazima utachomoa na kuibooost kidogo kwa mkono kama unajichua ili goli litoke. Lazma kuna madhara
Pale si unafanya hitimisho, tofauti na kujichua real ambapo lazima kwanza uzisikilizie na kuzivuta hisia.
 
mmmh wewe jasiri sana kijana wengine wakiingia tu ni kumwaga
utadhani ametumwa kuja kumwaga huko hata dakika moja hamalizi ...sijui watu wengine wapoje ningekupata ungenifaa sana
Mimi pia hua napenda kukojoa nje.nafikiri nakufaa sana
 
Mkuu PA kumwanga nje hakuta zuiya kwa mdada kupata mimba.Wakati ukifanya mapenzi
Manii huwa yanatoka bila ya wewe kujijua.
Muhimu Mkuu chukua jumla Kama unauwezo.
Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? Nani aliye kudanganya yakuwa manii zinaweza kukutoka bila ya wewe mwenyewe kujijuwa?
 
Zaidi ya alichosema Alexmahone ukikojoa nje duct ya penis hubaki na mbegu hivyo unaporudia tendo mbegu mabaki huingia moja kwa moja nakutunga mimba. Kukojoa nje haisaidii kabisa . In fact umekuwa ukifanya on safe days.
Boss mimi nna mwaka wa tatu namwaga nje mbona haijawahi kutokea hiyo mimba isiyotarajiwa?
 
Uki
Mimi pia huwa natumia hii njia....kwenye siku za hatari inakubid ndo huwe makini sana sasa inakubidi ukianza kuhisi bao uliboost kwa nje....inakuwa ni kama punyeto...lazima madhara yatakuwepo hapa japo nimeulizia wataalam wamesema hamna....njia ina ugumu lakini ina utamu wake piah mkuu....unaweza ukaunga goli hata tatu...
Uki i-balance vizuri hakuna haja ya ku-boost kwa nje wala nini unasubiri hadi sekunde ya mwisho ukichomoa tu wazungu haaoo kama wana mfukuza mwizi vilee.
 
Boss ule ute hauna uwezo wa kutungisha mimba
ni kweli mkuu na hata zile manii zinazobaki baki baada ya goli hazina uwezo wa kutungiza mimba kwa sabau manii inayoweza kutungisha mimba ni ile iliyokuwa katika spidi ya kutoka na ikapita ndani ya uke kabisa...ama ile tu ya mabaki haina spidi yeyote ile ya kupika huko..

lazima ngoma isokomezwe hasa huko ndani na kitu kiruke pyaa
 
ni kweli mkuu na hata zile manii zinazobaki baki baada ya goli hazina uwezo wa kutungiza mimba kwa sabau manii inayoweza kutungisha mimba ni ile iliyokuwa katika spidi ya kutoka na ikapita ndani ya uke kabisa...ama ile tu ya mabaki haina spidi yeyote ile ya kupika huko..

lazima ngoma isokomezwe hasa huko ndani na kitu kiruke pyaa
Mkuu sio kweli. Nina mtoto kwa njia hiyo hiyo. Siku za hatari nilipiga gem kwa kujiamin ntatoa na nkafanya hivyo....lkn akapata mimba tuu.
Hii haiaminiki Mkuu au upige 1 tu usirudie
 
Mkuu sio kweli.
Nina mtoto kwa njia hiyo hiyo. Siku za hatari nilipiga gem kwa kujiamin ntatoa na nkafanya hivyo....lakini akapata mimba tuu.
Hii haiaminiki Mkuu au upige 1 tu usirudie
hiyo sawa mkuu ukipiga moja tu inakuwa yale mabaki hayana njie engine ya kuingia huko...

mkuu samahani wewe ni dini ipi?

samahani kama utanielewa vibaya lakini kuna jambo nataka nikuambie
 
Wakuu shukrani kwa kuchangia japo najua kuna utata bado wa nguvu za kiume unapokojoa nje. Najua wataalam wengine nao watakuja kutujuza vizuri maana wengi twatumia style huenda kwa kutojua chochote.
Haipunguzi ilimradi usijiminye na mkono kama kusapoti nazani ni hivyo natumia pia
 
Wakuu huwa najitahidi sana kuepuka mimba zisizotarajiwa, so huwa natumia njia ya asili na ya kawaida kabisa kukojoa nje ya papuchi.

Sasa je hii njia haiwezi kuniletea matatizo ya uzazi au matatizo mengine kama kipungukiwa na nguvu? maana ni muda mrefu sana naitumia.
Kwangu naamini ndiyo salama sijui wewe kama unamabadiliko yeyote tangu uanze.
 
Hiyo mkuu kweli ni njia nzuri za kuepuka mimba zisizotarajiwa,ila inahitaji moyo maana ukikarbia kumaliza kuna utamu wake,nadhani hakuna madhara kama utakuwa una time mkuu
Ule utam naumaliziaga kwenye pachi ya tumbo na paja namalizia hapo.

Hii midawa yao ni hatari zaidi kwa afya ya mwanamke bora kulinda kwa hivyo.
 
Back
Top Bottom