Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

Kennedy,
Njia hii kitaalam hujulikana kama COITUS INTERUPTUS au WITHDRAWAL METHOD au PULL-OUT METHOD.

Mpaka sasa hakuna taarifa/uthibitisho wa kisayansi unaoonyesha kuwa njia hii inaweza kupunguza kwa nguvu za kiume.

So go for it !!!
 
Kwenye Utawala Wangu Nataka Watu Wazae, Kama Unakula Unashiba Halafu Uwaze Kupanga Uzazi. Najua Waziri Wa Afya Yupo Hapa Na Hapendi, LakiniElimu Ni Bure.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
mmmh wewe jasiri sana kijana wengine wakiingia tu ni kumwaga
utadhani ametumwa kuja kumwaga huko hata dakika moja hamalizi ...sijui watu wengine wapoje ningekupata ungenifaa sana
Kweli we kiboko. Yaani umewahi mkuta mtu wa jinsi hiyo? Sasa huku kupump huwa anafanya nini tena? Mtu ka huyo hawezi pata mtoto kwa sababu hata zile alizopeleka zikiwa kwenye kichwa wazi huwa anazifukuzilia nje kwa kupump.

Mwanaume apump kwa dakika 15+ ndio alete wadhungu sasa ndo amefikisha kakichwa tu tiyari!! Nadhani huwa unawasumbua sana hadi wanadhani weshaingia. Jirekebishe
 
Imagine itokee mmegonganisha magoli halafu wewe ndio unachomoa eti ili umwage nje! Wallahi atakutia meno!!
 
Imagine itokee mmegonganisha magoli halafu wewe ndio unachomoa eti ili umwage nje! Wallahi atakutia meno!!
Mkigonganisha Kunatokea Ugomvi Ama Inakuwa Vp
 
WanaJF poleni na majukumu,

Naomba kuuliza kama kunaweza kukawa na matatizo yoyote pale unapokutana na mwenza wako kimwili kisha ule wakati wa kufika kileleni unatoa na kumwaga shahawa kwa nje.

Je? Kuna madhara yoyote kiafya? Maana nimekuwa natumia njia hii kwa muda mrefu kidogo.

Natanguliza shukrani.
 
Kama nimekuelewa bado umri ni mdogo. Kwa uliotaka kuuliza ki afya hayna madhara yoyote ilihali ujafafanua vizuri una mwaga kutoka wapi. Kwa mwenyezimgu madhara bado ni makubwa.
 
Back
Top Bottom