Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

Nafany hvyo kuepsha mimba zisizotalajiwa
Sawa wengi wa watu ,hutoa jibu kama lako.

Ngono unayomwaga nje, haimridhishi mwanamke wako, kwan anakua kichwan muda wote anawaza wakat wa wee kutoa mashine

Kwann msitumie njia za uzazi mpango? Ikiwa mnajiamin na mnapendana?

Fanya ivi, tumia njia ya Kalenda.
 
Hatari iliyopo ni kwamba unakuwa umefanya mauaji ya halaiki
 
WanaJF poleni na majukumu,

Naomba kuuliza kama kunaweza kukawa na matatizo yoyote pale unapokutana na mwenza wako kimwili kisha ule wakati wa kufika kileleni unatoa na kumwaga shahawa kwa nje..
 
Kama nimekuelewa bado umri ni mdogo. Kwa uliotaka kuuliza ki afya hayna madhara yoyote ilihali ujafafanua vizuri una mwaga kutoka wapi. Kwa mwenyezimgu madhara bado ni makubwa.
Tusaidie hapo uliposema kuna madhara kwa mwenyezi mungu
 
Tusaidie hapo uliposema kuna madhara kwa mwenyezi mungu
Pengine ungejiuliza. Kwa tathmini rahisi.Je ingekua mfano "wazazi wako au wazazi wa rafiki yako"wanafanya hilo unaotaka kufanya. Kuvaa mipira au kutoa manii nje. Je ww binafsi ungezaliwa?

Au Ungepata wapi rafiki wa kuzungumza nae? Sisi binadamu Tumepewa na kuhalalishwa tendo la kujaamiana baina mke na mume kwa ajli ya kuzaana na kupata watoto watakaoendeleza yale yote tulioanzisha hapa Duniani.

Kama alivyo leta na kuamrisha viumbe vyegine kama Wanyama na mimea mbalimbali zilioletwa hapa duniani.. Vyote vinatii amrii za mwenyezimgu. Kwahiyo tunaendelea kua na ulimwengu unao enshi Binadamu, wanyama, mimea... Mengine fungua vitabu vya mungu vilivyoletwa hapa Duniani. Utaelewa zaidi.
 
Kwa maana nyingine hata kucheza na kalenda pia haiko sawa kwa sababu mtoto hawezi patikana kama tendo lilivyokusudiwa.
 
Mmenikumbusha wakati wa ujana wangu nilikuwa na demu kila tukienda cheza mechi anataka nikojoe nje ili aone manii zinavyoruka, basi nikipiga nikifika point namwambia nakojoa mwenzangu ndiyo ananipiga pini na miguu kabisa sitoki wala nini na yeye hapo hapo anaunga, akimaliza anaanza kunilaumu kwa nini sijatoa akaona hahahaha ilikuwa kama kitendawili vile
😂🤣😂😂🤣🤣
 
Acha upotoshaji. Shule hukwenda?
Kuna ute ute huwa unatoka katika uume bila mwanaume kujua, ute huo unabeba mbegu za kiume na unaweza kusababisha mimba kwa mwanamke.

Kwahiyo endapo utafanya nae akiwa katika siku zake za hatari kuweza kupata mimba unaweza kumsababisha ujauzito licha ya kwamba unamwaga nje kwakuwa wewe utatambua pale tu unapopata hisia kuwa waarabu wanashuka kumbe kuna wasafisha njia walishatangulia pasi na kukujuza.

Ila kumbuka pia wapo wanawake wanapokaribia kufika orgasm huwa wanatabia ya kukung'ang'ania,sasa waweza kujikuta mnafika sawa kileleni naye akakushika ipasavyo na ni Siku njema kwake ukakuta kitu imo ndani. Be prepared,
 
Back
Top Bottom