JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

Sakwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
246
Reaction score
883
Habari wanajamvi!
BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos.
Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia hii michoro ina umuhimu gani kwenye ngozi ya mtu.
Wenu katika ujenzi wa taifa

Unawezaje kisema michoro isiyokuwa na maana kwenye mwili wa mwenzako, wewe umejuaje haina maana, na unadhani ingekuwa haina maana wangechora.

" Picture keep secrets "
 
IMG_20250317_140025.jpg
 
Unawezaje kisema michoro isiyokuwa na maana kwenye mwili wa mwenzako, wewe umejuaje haina maana, na unadhani ingekuwa haina maana wangechora.

" Picture keep secrets "
Niwie radhi ila kuna michoro ukiona kwa mtu lazima umfirie tofauti je wewe ni muanga?
 
Mm naona n vile mtu anapenda tu kujichora na kujiandika matukio Yao yaliowatokea ktk maishà Yao .
 
Niwie radhi ila kuna michoro ukiona kwa mtu lazima umfirie tofauti je wewe ni muanga?
Niko na tattoo ndio, kila kitu kina maana kwa mchoraji sema, mtazamaji huo ndio ajui siri ya mchoro na hivyo basi kuja na tafsiri tofauti lakin ukweli aujua mchoraji
 
🤣 Jeshini wana sema uko un fit! Aisee
Ni kweli hawaaajiri wenye tatoo wanajua wengi mashoga na wasagaji au wasagwaji

Hao huwa nguvu za kiume na kike hawana ambacho ni kigezo muhimu kupima uwezo wa mtu afya ya kimwili kupambana na suluba za kijeshi
 
Niko na tattoo ndio, kila kitu kina maana kwa mchoraji sema, mtazamaji huo ndio ajui siri ya mchoro na hivyo basi kuja na tafsiri tofauti lakin ukweli aujua mchoraji
Asante kwa kunijuza hilo ama kwa hakika Elimu haina mwisho
 
Ni kweli hawaaajiri wenye tatoo wanajua wengi mashoga na wasagaji au wasagwaji

Hao huwa nguvu za kiume na kike hawana ambacho ni kigezo muhimu kupima uwezo wa mtu afya ya kimwili kupambana na suluba za kijeshi
Hiii imekaa vipi mbona majeshi ya wenzetu wapo sana tuu kama jeshi la Marekani nadhani hii iko tafauti kimtazamo
 
Asante kwa kunijuza hilo ama kwa hakika Elimu haina mwisho
Uzuri ni kwamba kila siku tunajifunza.

Hivi simu yako unayotumia nikikuambia hiyo simu ni mbaya utanielewaje? Wakati uzuri ubora wa simu yako wewe mwenye simu ndio waijua.

Kwaiyo wakati mimi nakuona wewe huna akili mpaka ukanunua hiyo simu, na wewe mwenye simu vilevile waniona sina akili kwakusema simu gani hiyo mbaya.. katika mfano huu nani hapa mwenye akili na nani asiye na akili wakati wote twaonana wajinga. Ndivyo hivyo hivyo kwenye tattoo
 
Ama kweli labda niulize kama hutojali nini kilikusukuma kuchora tatto?
 
Kuna faida ya urembo. Lakini ni special kwa watu weupe Tu. Usifanye hivi kama ni mweusi. Kwa mtu mweusi haina faida yoyote.
 
Mkuu hii dhana mbona kama ya kibaguzi 😃
 
Back
Top Bottom