ni utambulisho maalumu wa jamii mbalimbali, kulingana na aina ya tattoos,Habari wanajamvi!
BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos.
Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia hii michoro ina umuhimu gani kwenye ngozi ya mtu.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe

Kila kitu kina sababu. Sawa na wewe nini sababu yako yakutaka kujua watu wanachora tattooAma kweli labda niulize kama hutojali nini kilikusukuma kuchora tatto?
Waefeso 4:30Habari wanajamvi!
BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos.
Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia hii michoro ina umuhimu gani kwenye ngozi ya mtu.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
Siyo ya kibaguzi. Ndiyo ukweli, tatoo haina maana yoyote ile kwa mtu mwenye rangi nyeusi.Mkuu hii dhana mbona kama ya kibaguzi 😃
Kumbe!!! Duh!
You Know 🙏🏾Kuna faida ya urembo. Lakini ni special kwa watu weupe Tu. Usifanye hivi kama ni mweusi. Kwa mtu mweusi haina faida yoyote.