Unawezaje kisema michoro isiyokuwa na maana kwenye mwili wa mwenzako, wewe umejuaje haina maana, na unadhani ingekuwa haina maana wangechora.Habari wanajamvi!
BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos.
Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia hii michoro ina umuhimu gani kwenye ngozi ya mtu.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
Habari wanajamvi!
BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos.
Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia hii michoro ina umuhimu gani kwenye ngozi ya mtu.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
Niwie radhi ila kuna michoro ukiona kwa mtu lazima umfirie tofauti je wewe ni muanga?Unawezaje kisema michoro isiyokuwa na maana kwenye mwili wa mwenzako, wewe umejuaje haina maana, na unadhani ingekuwa haina maana wangechora.
" Picture keep secrets "
Wajeda wanatuona shiga ukiwa na tattoo🤣 Jeshini wana sema uko un fit! Aisee
Niko na tattoo ndio, kila kitu kina maana kwa mchoraji sema, mtazamaji huo ndio ajui siri ya mchoro na hivyo basi kuja na tafsiri tofauti lakin ukweli aujua mchorajiNiwie radhi ila kuna michoro ukiona kwa mtu lazima umfirie tofauti je wewe ni muanga?
Ni kweli hawaaajiri wenye tatoo wanajua wengi mashoga na wasagaji au wasagwaji🤣 Jeshini wana sema uko un fit! Aisee
Hiii imekaa vipi mbona majeshi ya wenzetu wapo sana tuu kama jeshi la Marekani nadhani hii iko tafauti kimtazamoNi kweli hawaaajiri wenye tatoo wanajua wengi mashoga na wasagaji au wasagwaji
Hao huwa nguvu za kiume na kike hawana ambacho ni kigezo muhimu kupima uwezo wa mtu afya ya kimwili kupambana na suluba za kijeshi
Uzuri ni kwamba kila siku tunajifunza.Asante kwa kunijuza hilo ama kwa hakika Elimu haina mwisho
Ama kweli labda niulize kama hutojali nini kilikusukuma kuchora tatto?Uzuri ni kwamba kila siku tunajifunza.
Hivi simu yako unayotumia nikikuambia hiyo simu ni mbaya utanielewaje? Wakati uzuri ubora wa simu yako wewe mwenye simu ndio waijua.
Kwaiyo wakati mimi nakuona wewe huna akili mpaka ukanunua hiyo simu, na wewe mwenye simu vilevile waniona sina akili kwakusema simu gani hiyo mbaya.. katika mfano huu nani hapa mwenye akili na nani asiye na akili wakati wote twaonana wajinga. Ndivyo hivyo hivyo kwenye tattoo