JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

ni utambulisho maalumu wa jamii mbalimbali, kulingana na aina ya tattoos,

mathalani zipo tattoos zinatambulisha jamii ya mafirauni, hawa ni majama ya kufirana kinyume na maumbile,

lakini pia zipo tattoos zinazowatambulisha jamii wa wasagaji, au jamii ya watu wanaoshiriki ndoa za jinsia moja n.k
 
Ama kweli labda niulize kama hutojali nini kilikusukuma kuchora tatto?
Kila kitu kina sababu. Sawa na wewe nini sababu yako yakutaka kujua watu wanachora tattoo

Hakuna aliye sawa, wala aliyekosea wewe tuu ufahamu wako ndio utakuambia kakosea na huyu kapatia
 
Waefeso 4:30
Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ