Unajua Idd Amin alikuwa ni mwanaharakati kama Tundu Lisu na aliingizwa jeshini kwa nguvu na siyo kwa hiyari yake.Nawauliza wazee wangu mliokuwa na ufahamu wakati nchi inaingia kwenye vita vya Kagera. Je, kulikuwepo na ulazima wa kuingiza nchi kwenye vita ya Uganda ambayo tangu wakati huo mpaka sasa madhara yake bado yapo dhahiri?...
😂😂 we unawatafuta vijana wa bavicha😂😂Unajua Idd Amin alikuwa ni mwanaharakati kama Tundu Lisu na aliingizwa jeshini kwa nguvu na siyo kwa hiyari yake.
Sasa watu wa aina ya Amin hawakomagi uchokozi na dawa yao ni kichapo tu hakuna namna bwana mdogo!
Hahahaaaa.........!😂😂 we unawatafuta vijana wa bavicha😂😂
😂😂Na wenye matusi
Unawafurusha wao wanakuangalia tu? What a stupid thread!Je hatukuwa na jeshi imara la kuwafurusha wavamizi wa mipaka yetu kimya kimya bila kutangaza vita?
Uchumi ulishaanguka na viwanda vilishaanza kudorora njia rahisi ya kuepuka mgogoro wa ndani ilikuwa ni kuingia vita za nje ili kuepuka sokomoko. Na baada ya vita ilitarajiwa Obote arejeshe mgawo alau tupunguze machungu na haikuwa hivyo maana nae alikuwa na njaa...Nawauliza wazee wangu mliokuwa na ufahamu wakati nchi inaingia kwenye vita vya Kagera. Je, kulikuwepo na ulazima wa kuingiza nchi kwenye vita ya Uganda ambayo tangu wakati huo mpaka sasa madhara yake bado yapo dhahiri?...
"Adui wa adui yako ni rafiki yako.." Hii ndo kanuni ilifanya wanyonge wa Uganda wakaungana na majeshi ya Tz kumfurusha rais wao iddi A. Dada...Tuliwezeshwa tu kumshinda na Waganda wenyewe maana waliisha mchoka Idd Amin kabisa,
hahaha ntatumia diplomasiaJe, Kuna ulazima wa wewe kupigana na mwanaume mwenzako ikiwa utamfumania akimla kiboga mkeo nyumbani kwako tena kwenye kitanda unacholalaga?!
UONGO.. alikuwa dikteta uchwara...Idd Amin alikuwa ni mwanaharakati kama Tundu Lisu
Hii ndiyo hoja ya msingi. Idd Amin alipigwa na waganda. Sisi tulisaidia. Waganda walikuwa wamemchoka, hata wanajeshi wake walikuwa hawana pa kusemea, ilipopatikana opportunity wakaitumia!.............kama picha uliyoiona kwa support ya Lisu kwenye mikutano, it sent a special msg ingawa watu , many of them could not figure out this!Tuliwezeshwa tu kumshinda na Waganda wenyewe maana waliisha mchoka Idd Amin kabisa,
KabisaHii ndiyo hoja ya msingi. Idd Amin alipigwa na waganda. Sisi tulisaidia. Waganda walikuwa wamemchoka, hata wanajeshi wake walikuwa hawana pa kusemea, ilipopatikana opportunity wakaitumia!.............kama picha uliyoiona kwa support ya Lisu kwenye mikutano, it sent a special msg ingawa watu , many of them could not figure out this!