Kuna tofauti ktk siasa na hali halisi wewe unaongelea siasa mm naongelea hali halisi ' kumbuka ktk siasa kuna propaganda na usiri lkn hali halisi hakuna vitu hivyo. Ninachoongea ktk uhalisia huo ambao hauna propaganda kama ktk siasa kama unazoongelea wewe ni kuwa nimeshuhudia waasi wa uganda ktk ardhi ya tz na zaidi wakifadhiliwa na kupewa mafunzo ktk ardhi ya tz ili waishambulie na kuing'oa serikali ya uganda wakishirikana na majeshi ya tz. kuhusu uchaguzi sote tunaelewa kuwa baada serikali za mpito mwisho wa siku aliingia obote swahiba wake nyerere 'sasa ndugu yangu unataka kutuaminisha kuwa obote hajawekwa na nyerere? Hizo blahblah za kisiasa utawadanganya wengi lkn si watu wenye uelewa mpana haitotokea kwa serikali yeyote ikakiri hadharani kuwa imemuweka rais wa nchi fulani madarakani hata siku moja