Je, kulikuwa na ulazima wa nchi kuingia vitani na Idd Amin?

Ilikuwa sio lzm kuingiza nchi kwa interest ya Nyerere na Obote
Papy Ndombe, Idd Amin alikuwa ni Dikteta na Nunda kweli kweli wa hatari sana! Alikuwa haishi visa kila siku! Japokuwa vita hiyo ilitugharimu sana in terms of Human and Financial Resources, ilikuwa ni lazima apigwe na aondolewe madarakani kwa usalama wa nchi yetu!
 
Kinachoonekana hapa ni vile wewe unataka/amini/penda iwe dhidi ya uhalisia wa jambo lenyewe. Kusema kuwa TZ ilimuingiza madarakani Obote wakati kila mtu alishuhudia mchakato mzima wa uchaguzi hadi Obote kurudi tena madarakani kwa ridhaa ya wananchi wa uganda wenyewe sidhani kama kauli zako zina mashiko. Labda kama unazungumzia kile unacho kiamini wewe binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…