Je, kumtafuta rafiki yako, kipindi ukiwa na shida tu ni sahihi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Wakati mambo yanaenda vizuri kwako; kiajira, kibiashara au kimahusiano, hukuweza kumtafuta rafiki yako.

Ila baada ya mambo kukwama; kwenye ajira, biashara, mahusiano n.k ndio unaanza kumtafuta rafiki yako akupige jeki; Je hii ni sahihi?​
 
Jibu rahisi mwambie sina na nimefuria nisamehe sina uwezo wa kuahidi chochote kitu, simple and clear
 
I hate when a nigga text you like, "What's up, fam? Hope you good"
You say, "I'm good, I'm great, " the next text they ask you for somethin

Kanye west ft ty dollar $ign_real friends

Nachukizwa pale jamaa anakutext hivi
Inakuaje mwanangu,natumai upo poa
Unajibu,nipo poa,mzima

Sms inayofuata anakuomba kitu chochote
 
Inabidi kujifunza
 
Wakati mambo yanaenda vizuri kwako; kiajira, kibiashara au kimahusiano, hukuweza kumtafuta rafiki yako.

Ila baada ya mambo kukwama; kwenye ajira, biashara, mahusiano n.k ndio unaanza kumtafuta rafiki yako akupige jeki; Je hii ni sahihi?​
Sahihi
 
Back
Top Bottom