Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Ikitokea anakuja kukuomba msaada kama rafiki, utafanyaje?Hamna urafiki wa hivyo.,hapo mnafahamiana tu.
Akiomba msaada wako, hutomsaidia?Marafiki fake temana nao. Hao ni wanafiki tupa kulee.
Sina muda huo.Akiomba msaada wako, hutomsaidia?
Amna rafiki hapo kuna kutumiwa tuWakati mambo yanaenda vizuri kwako; kiajira, kibiashara au kimahusiano, hukuweza kumtafuta rafiki yako.
Ila baada ya mambo kukwama; kwenye ajira, biashara, mahusiano n.k ndio unaanza kumtafuta rafiki yako akupige jeki; Je hii ni sahihi?
Ikitokea anahitaji msaada wako wa kifedha, hutomsaidia?Amna rafiki hapo kuna kutumiwa tu
Simzingatii kabisaIkitokea anakuja kukuomba msaada kama rafiki, utafanyaje?
Jibu rahisi mwambie sina na nimefuria nisamehe sina uwezo wa kuahidi chochote kitu, simple and clearWakati mambo yanaenda vizuri kwako; kiajira, kibiashara au kimahusiano, hukuweza kumtafuta rafiki yako.
Ila baada ya mambo kukwama; kwenye ajira, biashara, mahusiano n.k ndio unaanza kumtafuta rafiki yako akupige jeki; Je hii ni sahihi?
Inasikitisha sanaHuyo sio rafiki hata kidogo.
Ni watu mnao fahamiana na mna parasitic relationship hivyo kaa nae chonjo
Inabidi kujifunzaI hate when a nigga text you like, "What's up, fam? Hope you good"
You say, "I'm good, I'm great, " the next text they ask you for somethin
Kanye west ft ty dollar $ign_real friends
Nachukizwa pale jamaa anakutext hivi
Inakuaje mwanangu,natumai upo poa
Unajibu,nipo poa,mzima
Sms inayofuata anakuomba kitu chochote
Sina huo mdaIkitokea anahitaji msaada wako wa kifedha, hutomsaidia?
NakaziaAmna rafiki hapo kuna kutumiwa tu
SahihiWakati mambo yanaenda vizuri kwako; kiajira, kibiashara au kimahusiano, hukuweza kumtafuta rafiki yako.
Ila baada ya mambo kukwama; kwenye ajira, biashara, mahusiano n.k ndio unaanza kumtafuta rafiki yako akupige jeki; Je hii ni sahihi?
Kwa nini ni sahihi?Sahihi