DIAMOND HAJAWAHI KUWA NA BIFU NA MTU,ILA 99% WATU NDIO WANATAFUTA BIFU NAE.
DIAMOND na ALIKIBA = Mashabiki wa Wema ndio wamelitengeneza (wakitaka MOND ashuke)
Shigongo na DIAMOND =Maslai (Shigongo alimtaka akafanye shoo kwa bei isiyo na maslai kwake)
EATV/Radio na DIAMOND = Kutokushiriki kwenye tuzo zao,kitu ambacho si DIAMOND PEKE YAKE ALIYEFANYA HIVI
WEMA SEPETU na DIAMOND = Wema kuwa na wivu wa mafanikio ya DIAMOND (baada ya kuona kuwa anaendelea na maisha yake vizuri,wakati alisema anatembelea nyota yake.)
Na ma-bifu mengine mengi ni wivu wa kuona jamaa ana mafanikio na anazidi kupiga hatua pamoja na madongo kila upande.
HAKUNA HATA BIFU MOJA AMBALO KALIANZISHA YEYE,ILA ANAANZISHIWA.