Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Endeleza chuki zakoShigongo Ana mambo yakijinga sana anajidaigi kumtanguliza mungu na wakati anamambo yakishetani.nammanyile a 2 z.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleza chuki zakoShigongo Ana mambo yakijinga sana anajidaigi kumtanguliza mungu na wakati anamambo yakishetani.nammanyile a 2 z.
Kwahiyo na wewe unaamini Diamond ana bifu na Shigongo?!kwani Diamond ndo ana mafanikio kuliko celebrities wote hapa bongo... usimdharau mtu hata kama umemzidi mafanikio no one knows tomorrow be humble.. naona Diamond anakata tawi alilokalia
tutaona mwisho Wa picha ukweli utajulikana... lakini hili suala la kusema eti watu wana bifu na Diamond kwa sababu ya mafanikio yake ni kuwachafua image yao 2Kwahiyo na wewe unaamini Diamond ana bifu na Shigongo?!
Kwa kawaida Diamond huwa haongei lakini miezi michache iliyopita Bab Tale alimtolea uvivu Shigongo na kumwambia aache tabia ya kuwachafua wasanii wa WCB hususani Diamond!!! Pamoja na mambo mengine Shigongo alikuwa analalamikia Diamond kutoza $55K kwa shows za Tanzania. Hayo ni mambo ya kibiashara. Shigongo akapeleka habari za kibiashara Instagram wakati simple and clear, kama $55K anaona nyingi, anaenda tu kwa wasanii wa 10 Million kuliko unafiki wa kujifanya eti anawahurumia mashabiki!!!
Kwavile Bab Tale aliona hiyo ni sabotage kwenye biashara yao, hapo hapo akampa za uso!!! So, inaonekana Shigongo sindano zimemuingia....
Ukweli upi utakaojulikana wakati niliosema ndio ukweli wenyewe?! Ni Bab Tale ndie alimsemea mbovu Shigongo lakini sio Diamond!!! Btw, kwani suala la Shigongo kuandika watu vibaya ni jambo geni?tutaona mwisho Wa picha ukweli utajulikana... lakini hili suala la kusema eti watu wana bifu na Diamond kwa sababu ya mafanikio yake ni kuwachafua image yao 2
Kwa akili yako ya kuendea choon unaona babu tale ni mjanja kuliko eric shigongo siyoUkweli upi utakaojulikana wakati niliosema ndio ukweli wenyewe?! Ni Bab Tale ndie alimsemea mbovu Shigongo lakini sio Diamond!!! Btw, kwani suala la Shigongo kuandika watu vibaya ni jambo geni?
kwani wewe ni msemaji Wa WCB?Ukweli upi utakaojulikana wakati niliosema ndio ukweli wenyewe?! Ni Bab Tale ndie alimsemea mbovu Shigongo lakini sio Diamond!!! Btw, kwani suala la Shigongo kuandika watu vibaya ni jambo geni?
Kuna mahali niliposema nani ni mjanja kuliko mwenzake?! But all in all, huyo Shigongo ana ujanja gani?! Kwavile huko kwenu mnamuona mjanja unadhani ndo kila mahali anaweza kuwa na status ya kuwa mjanja?Kwa akili yako ya kuendea choon unaona babu tale ni mjanja kuliko eric shigongo siyo
We jamaa una matatizo! Mimi nimekupa chanzo cha kwanini Shigongo amefikia hiyo hatua kumbe kuna jibu unalotaka wewe kama wewe liwe ndilo sababu!!kwani wewe ni msemaji Wa WCB?
ukweli mtupuDIAMOND HAJAWAHI KUWA NA BIFU NA MTU,ILA 99% WATU NDIO WANATAFUTA BIFU NAE.
DIAMOND na ALIKIBA = Mashabiki wa Wema ndio wamelitengeneza (wakitaka MOND ashuke)
Shigongo na DIAMOND =Maslai (Shigongo alimtaka akafanye shoo kwa bei isiyo na maslai kwake)
EATV/Radio na DIAMOND = Kutokushiriki kwenye tuzo zao,kitu ambacho si DIAMOND PEKE YAKE ALIYEFANYA HIVI
WEMA SEPETU na DIAMOND = Wema kuwa na wivu wa mafanikio ya DIAMOND (baada ya kuona kuwa anaendelea na maisha yake vizuri,wakati alisema anatembelea nyota yake.)
Na ma-bifu mengine mengi ni wivu wa kuona jamaa ana mafanikio na anazidi kupiga hatua pamoja na madongo kila upande.
HAKUNA HATA BIFU MOJA AMBALO KALIANZISHA YEYE,ILA ANAANZISHIWA.
kwanini Diamond kwenye kila beef yeye ndo anaonewa is that possible? watu wenye akili zao wanamshangaa kwa sababu sometime anagombana na watu wanaheshimika na wana influence kubwa so its obvious Diamond anapenda kupimana ubavu na kila mtu ili mwisho Wa siku awe ni mkubwa kuzidi wote... sitashangaa siku nikasikia Diamond ana bifu na JPMWe jamaa una matatizo! Mimi nimekupa chanzo cha kwanini Shigongo amefikia hiyo hatua kumbe kuna jibu unalotaka wewe kama wewe liwe ndilo sababu!!
Nikurahisishie kazi basi: Diamond ndie kaanzisha bifu kwa Shigongo na anafanya hivyo wakati anafahamu amesaidiwa sana na Shigongo kufika alipofika!
Satisfied?!
Nazan ugovi wao umechochewa na uongozi wake mond(rejea majibu ya kejeli aliwahi kutoa babu tale na team yao ya WCB) binafsi naona mond akubal kufuta tofaut zao na hivyo vyombo vya habari kuna madhara yake , asisahau alikotokaSHIGONGO ANA WIVU? MBONA ALIMSAIDIA SANA KIJANA KUFIKA MBALI.NAKUMBUKA ENZI ZILE ANAMPELEKA DIAMOND DAR LIVE NA HELCOPTER
Mkuu upo sahihi kabisa najua sasa hiv analeta kiburi kwa sababu ya nguvu ya Instagram nazan anaona vyombo vya habari hawana umuhimu kwake kivile ( ukiondoa clouds FM ambayo Ruge ndiyo boss wa wote hao kuanzia tale, fella, yule mwarabu na wcb nzima akiwemo mond ) hatakiwi kuweka Sana bifu na vyombo vya habaritutaona mwisho Wa picha ukweli utajulikana... lakini hili suala la kusema eti watu wana bifu na Diamond kwa sababu ya mafanikio yake ni kuwachafua image yao 2
Mwambie yule shigongo ni mafia Sana sema ndiyo hivyo huwez kumuelewa vizur . yule ngosha hana utaniKwa akili yako ya kuendea choon unaona babu tale ni mjanja kuliko eric shigongo siyo
Alimsaidia...?SHIGONGO ANA WIVU? MBONA ALIMSAIDIA SANA KIJANA KUFIKA MBALI.NAKUMBUKA ENZI ZILE ANAMPELEKA DIAMOND DAR LIVE NA HELCOPTER
Mkuu usimchukulie poa shigongoAcha uju'ha we bwege.. Kuna mahali niliposema nani ni mjanja kuliko mwenzake?! But all in all, huyo Shigongo ana ujanja gani?! Kwavile huko kwenu mnamuona mjanja unadhani ndo kila mahali anaweza kuwa na status ya kuwa mjanja?
Utamwambia nini Mond sasahivi ana pesa, anashine shida hazijui... ukimkosoa kidogo wewe adui yake utakipata cha motoMkuu upo sahihi kabisa najua sasa hiv analeta kiburi kwa sababu ya nguvu ya Instagram nazan anaona vyombo vya habari hawana umuhimu kwake kivile ( ukiondoa clouds FM ambayo Ruge ndiyo boss wa wote hao kuanzia tale, fella, yule mwarabu na wcb nzima akiwemo mond ) hatakiwi kuweka Sana bifu na vyombo vya habari
Afu kipesa shigongo ni tajiri mbali sana mond hawez kumfikia shigongo kwa sasa labda hapo baadaye
Binafsi namkubal sana mond ni mtafutaji sana kuna machache ya kujifunza kwake, ila ni mwepesi wa kudharau wengine , hajui kukumbuka fadhila na mwisho wa siku anajiona yeye ni Mkubwa zaid ya wengine. Haka katabia naona na harmonize karithi . ila kijana mwingine atafika mbali ni [HASHTAG]#ravy[/HASHTAG]kwanini Diamond kwenye kila beef yeye ndo anaonewa is that possible? watu wenye akili zao wanamshangaa kwa sababu sometime anagombana na watu wanaheshimika na wana influence kubwa so its obvious Diamond anapenda kupimana ubavu na kila mtu ili mwisho Wa siku awe ni mkubwa kuzidi wote... sitashangaa siku nikasikia Diamond ana bifu na JPM