Je kuna bifu kati ya Shigongo na Diamond?

Je kuna bifu kati ya Shigongo na Diamond?

Acha uju'ha we bwege.. Kuna mahali niliposema nani ni mjanja kuliko mwenzake?! But all in all, huyo Shigongo ana ujanja gani?! Kwavile huko kwenu mnamuona mjanja unadhani ndo kila mahali anaweza kuwa na status ya kuwa mjanja?
Eric shigongo katoka sengelema kaja dar leo ana mkwanja wa maana acha kumlinganisha na hao akina babu tale wakata viuno wanaotegemea kula kupitia kwa diomond na dancee wake akina mose iyobo
 
Eric shigongo katoka sengelema kaja dar leo ana mkwanja wa maana acha kumlinganisha na hao akina babu tale wakata viuno wanaotegemea kula kupitia kwa diomond na dancee wake akina mose iyobo
We jamaa nawe sijui vipi cjui!! Wapi nimemlinganisha Shigongo na yeyote yule kwenye posts zangu?! We jamaa wa wapi wewe?!

Hoja hapa ni kwamba Babu Tale alimpa makavu Shigongo kwamba aache kuandika hovyo watu kwa nia ya kuwafanyia damage!!! Baada ya kupewa makavu, kumbe inawezekana according to mleta mada, kumbe Shigongo kasusa kuandika habari za Diamond mtu ambae kwa sasa sidhani kama anategemea magazeti ya udaku!!!

Kama Shigongo na mihela that's none of our concern... kama pesa ni zake na ndugu zake!!!
 
Ndo maana nikakuambia we jamaa una matatizo manake unataka iwe unavyotaka wewe hata kama uhalisia haukuwa hivyo!!

Nimekuambia mgogoro na Shigongo ulianzia kwa Shigongo mwenyewe kisha Babu Tale akamsemea mbovu Shigongo na Diamond hakuhusika na chochote!!! Na kwa kukuonesha hili suala lilikuwa wazi; nime-Google mara moja tu nimekuta sources kibao zimeandika hilo suala. Kwa mfano, Swahili Times hawa hapa:
Kwa habari zaidi, ingia kwenye website yao hapa!

Dar24.com nao hapa:

Millard Ayo nae, huyu hapa:

Global Publishers wenyewe hawa hapa: BABU TALE; MAONI YA SHIGONGO HAYAHUSIANI NA SHOO

Perfect Crispian nae huyu hapa na tena amemuhoji Babu Tale:

Na post ya Shigongo ambayo iliibua yote hayo ni hii hapa:

Kufuatia hiyo post ndipo Babu Tale akaja juu na hii post:

View attachment 534856

Sasa wote hao, including Global Publishers wenyewe wanakuambia ni conflict kati ya Shigongo na Babu Tale!! How come unalazimisha kwamba hilo bifu ni la Diamond na Shigongo na mwanzishi ni Diamond?!

Sasa ukisikia watu wanaitwa Haters basi wewe ndo una hizo sifa manake tangu jana nakuambia source ni nini lakini wewe hutaki unataka iwe ni ugomvi kati ya Diamond na Shigongo na mwanzilishi ni Diamond!!!!

Na kwavile hivyo ndivyo unavyotaka, ndo maana tangu jana nilikuambia:

Jamaa unaonekana unamkubali sama diamond hadi unaandika gazeti lote hili... anyway Mimi siyo hater huo ulikuwa ni mtazamo wangu tu kutokana na research na observation zangu
 
Binafsi namkubal sana mond ni mtafutaji sana kuna machache ya kujifunza kwake, ila ni mwepesi wa kudharau wengine , hajui kukumbuka fadhila na mwisho wa siku anajiona yeye ni Mkubwa zaid ya wengine. Haka katabia naona na harmonize karithi . ila kijana mwingine atafika mbali ni [HASHTAG]#ravy[/HASHTAG]
yah its true katika utafutaji ni mfano Wa kuigwa binafsi hata Mimi pia kuna nyimbo zake nazikubali ila haka katabia ka dharau, kejeli na show off vinanitoaga kwenye mood kabisa... sijui ni ulimbukeni au hasira za kusota sana kwenye life
 
ASEH, KWANZA NAOMBA NISEME KUWA MIMI SIYO TEAM DIAMOND NA WALA SIYO TEAM ALIKIBA. MIMI MWANAMUZIKI AKITOA WIMBO MZURI TU NASIKILIZA NYIMBO ZAKE. SICHAGUI, SIBAGUI

KUHUSU SHIGONGO VS DIAMOND BILA SHAKA NI CHUKI BINAFSI.

HATA HUKU KITAA UKIFANIKIWA WATU LAZIMA WAKUPIGE MAJUNGU, ndo wabongo walivyo.
 
Jamaa unaonekana unamkubali sama diamond hadi unaandika gazeti lote hili... anyway Mimi siyo hater huo ulikuwa ni mtazamo wangu tu kutokana na research na observation zangu
Unaona sasa?! Wakati jana nakuambia si nilikuwambia kwa maneno machache tu na mwisho nikafunga mjadala! Pamoja na yote hayo bado ukaendeleza kwa sababu kiu yako ilikuwa ni tofauti na uhalisia!!!

Sasa nakupa stori mzima kuanzia mwanzo hadi mwisho with evidence ili tufunge mjadala, oh, unaandika gazeti!

Labda usichofahamu ni kwamba, staili ya uandishi wangu ndo ipo hivyo bila kujali habari inamuhusu nani au inahusu nini!!! In most cases, maandiko yangu lazima yawe na evidence kwa sababu huwa sipendi blah blah! Kabla sijaingia hii thread leo hii, nilikuwa kwenye hii thread!!! Kote huko nimepachika ma-evidence!!!

Jana sikuona sababu ya kuweka ma-evidence cuz' niliona issue yenyewe ni ndogo tu!! Lakini kwavile uliendelea kung'ang'a nia kitu ambacho hakipo hapakuwa na namna zaidi ya kukupa hizo evidence!!
 
We jamaa nawe sijui vipi cjui!! Wapi nimemlinganisha Shigongo na yeyote yule kwenye posts zangu?! We jamaa wa wapi wewe?!

Hoja hapa ni kwamba Babu Tale alimpa makavu Shigongo kwamba aache kuandika hovyo watu kwa nia ya kuwafanyia damage!!! Baada ya kupewa makavu, kumbe inawezekana according to mleta mada, kumbe Shigongo kasusa kuandika habari za Diamond mtu ambae kwa sasa sidhani kama anategemea magazeti ya udaku!!!

Kama Shigongo na mihela that's none of our concern... kama pesa ni zake na ndugu zake!!!
Kwahiyo huyo babu yako tale ndo meneja wa shingongo wa kumzuia na kumupangia cha kuandika au ana hisa kwenye biashara za shigongo

Huyo tale wako ananjaa kinoma mkuu wewe endelea kuleta chuki kwa watu matajir kama eric
 
We jamaa vipi?! Shigongo amejifanya mshauri wa WCB! Wenye WCB yao hawataki mambo yake ya kimbwiga ya kujifanya mshauri wa WCB!!! Sasa how come unalazimisha watu watake ushauri wake?

Mwambie Shigongo aache mambo ya kidemu!! Kama unajua Tale hawezi kumpangia cha kuandika; mbona amesusa basi?!

On top of that, nimeshakuambia... kama Shigongo ni bilionea ni huko huko kwenu Sengerema and that's none of our concern!!
 
Magazeti ya udaku mara nyingi yanaandika rumours tu with catching front page habari au picha ili wauze gazeti kirahisi. Labda hawamuandiki sana kwa sasa kwa sababu hauzi tena
 
Back
Top Bottom