Je kuna bifu kati ya Shigongo na Diamond?

Mi huwa sipend mtu anayeandika vitu kwa kuhisi kama una uthibitisho ni sawa
 
MBONA WENGINE WANAWEKWA?
Wanaowekwa hawajielewi wakati kuna sheria ya cybercrime , unataka mahakama ikufuate ukafungue kesi...

Athubutu tena kuweka picha za utupu Kama zamani kwa watu wanaojielewa uone Kama harudi sengerema
 
Watu tunaongelea DIAMOND na "ma-bifu". "we unauliza kwani MOND ndio mwenye mafanikio kuliko cele wote hapa Bongo ...." Sasa hii ni wapi na wapi ....??
acha kudandia mada
 
Sema NIMEKOSEA WAPI ...Maana hapa JF HAKUJAWAHI KUWA NA MADA "ZINAZODANDIWA".
hukuona kama nimemQuote Mtu.. hebu rudi kaangalie tena hlf ulete majibu hp
 
Hivi kweli habari za msanii mkubwa kama diamond ambae tunataka kusikia habar za mafanikio yake ili aweze ku inspire vijana tunataka akaandikwe kwenye magazet ya udaku kweli?? Kwamba leo katembea na fulani mara kesho kaweka fuvu kwenye meza mara ni freemason...Magazeti ya udaku hua yanaandika nini cha maana
 
Safi sana mkuu nimekuelewa na umeielezea vizur
 
Shigongo Ana mambo yakijinga sana anajidaigi kumtanguliza mungu na wakati anamambo yakishetani.nammanyile a 2 z.
 
Chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T.
 
siameshagasema ye ni mtii wa matundaa , lazma wazilete bifu ili wapate supu
 
Wanaowekwa hawajielewi wakati kuna sheria ya cybercrime , unataka mahakama ikufuate ukafungue kesi...

Athubutu tena kuweka picha za utupu Kama zamani kwa watu wanaojielewa uone Kama harudi sengerema
Wewe kwa akili yako unazan eric ana biashara moja siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…