Je kuna bifu kati ya Shigongo na Diamond?

Unapoianza safari wanakutia moyo unapoyakaribia mafanikio vinaanza vikwazo
 
Ukitaka watu wachukie wambie mond anamafanikio kuzidi msanii mwingne basi utaona wanavokuattaki......diamond ana mafanikio kwl na ndo kitu kinachopelekea kila mtu amtafutie lift
 
kwani Diamond ndo ana mafanikio kuliko celebrities wote hapa bongo... usimdharau mtu hata kama umemzidi mafanikio no one knows tomorrow be humble.. naona Diamond anakata tawi alilokalia
Kwahiyo na wewe unaamini Diamond ana bifu na Shigongo?!

Kwa kawaida Diamond huwa haongei lakini miezi michache iliyopita Bab Tale alimtolea uvivu Shigongo na kumwambia aache tabia ya kuwachafua wasanii wa WCB hususani Diamond!!! Pamoja na mambo mengine Shigongo alikuwa analalamikia Diamond kutoza $55K kwa shows za Tanzania. Hayo ni mambo ya kibiashara. Shigongo akapeleka habari za kibiashara Instagram wakati simple and clear, kama $55K anaona nyingi, anaenda tu kwa wasanii wa 10 Million kuliko unafiki wa kujifanya eti anawahurumia mashabiki!!!

Kwavile Bab Tale aliona hiyo ni sabotage kwenye biashara yao, hapo hapo akampa za uso!!! So, inaonekana Shigongo sindano zimemuingia....
 
tutaona mwisho Wa picha ukweli utajulikana... lakini hili suala la kusema eti watu wana bifu na Diamond kwa sababu ya mafanikio yake ni kuwachafua image yao 2
 
tutaona mwisho Wa picha ukweli utajulikana... lakini hili suala la kusema eti watu wana bifu na Diamond kwa sababu ya mafanikio yake ni kuwachafua image yao 2
Ukweli upi utakaojulikana wakati niliosema ndio ukweli wenyewe?! Ni Bab Tale ndie alimsemea mbovu Shigongo lakini sio Diamond!!! Btw, kwani suala la Shigongo kuandika watu vibaya ni jambo geni?
 
Kiufupi ni kwamba kama unakumbuka kulikuwa na show ya harmonize ilitakiwa ifanyike dar live makubaliano mwanzon kbla ya promotion yalikuwa poa,baada ya promotion kuwa kubwa kutoka kwa team ya mond Erick akahairisha akasema anahitaji percent nyingi zaid menejiment ya diamond ika kataa,so baada ya apo akaanza kupost Instagram shigongo akitabiri kupolomoka kwa diamond kutokan na bei zake za show kuwa kubwa et fans wasionauwezo ambao wapo mikoa hawataweza,ikapelekea kuingia bifu zito na meneja babutale had kutishiana ndo mwisho ukawa hapo.

Katika mafanikio hutapendwa na wote, na ili uzidi kufanikiwa kubari vitu kama hivi,YESU mwenyew hakupendwa na watu kwa Yale ambayo ni mazuri lkn watu walikuwa hawapendi
 
Ukweli upi utakaojulikana wakati niliosema ndio ukweli wenyewe?! Ni Bab Tale ndie alimsemea mbovu Shigongo lakini sio Diamond!!! Btw, kwani suala la Shigongo kuandika watu vibaya ni jambo geni?
Kwa akili yako ya kuendea choon unaona babu tale ni mjanja kuliko eric shigongo siyo
 
Reactions: G 6
Ukweli upi utakaojulikana wakati niliosema ndio ukweli wenyewe?! Ni Bab Tale ndie alimsemea mbovu Shigongo lakini sio Diamond!!! Btw, kwani suala la Shigongo kuandika watu vibaya ni jambo geni?
kwani wewe ni msemaji Wa WCB?
 
Kwa akili yako ya kuendea choon unaona babu tale ni mjanja kuliko eric shigongo siyo
Kuna mahali niliposema nani ni mjanja kuliko mwenzake?! But all in all, huyo Shigongo ana ujanja gani?! Kwavile huko kwenu mnamuona mjanja unadhani ndo kila mahali anaweza kuwa na status ya kuwa mjanja?
 
kwani wewe ni msemaji Wa WCB?
We jamaa una matatizo! Mimi nimekupa chanzo cha kwanini Shigongo amefikia hiyo hatua kumbe kuna jibu unalotaka wewe kama wewe liwe ndilo sababu!!

Nikurahisishie kazi basi: Diamond ndie kaanzisha bifu kwa Shigongo na anafanya hivyo wakati anafahamu amesaidiwa sana na Shigongo kufika alipofika!

Satisfied?!
 
ukweli mtupu
 
kwanini Diamond kwenye kila beef yeye ndo anaonewa is that possible? watu wenye akili zao wanamshangaa kwa sababu sometime anagombana na watu wanaheshimika na wana influence kubwa so its obvious Diamond anapenda kupimana ubavu na kila mtu ili mwisho Wa siku awe ni mkubwa kuzidi wote... sitashangaa siku nikasikia Diamond ana bifu na JPM
 
SHIGONGO ANA WIVU? MBONA ALIMSAIDIA SANA KIJANA KUFIKA MBALI.NAKUMBUKA ENZI ZILE ANAMPELEKA DIAMOND DAR LIVE NA HELCOPTER
Nazan ugovi wao umechochewa na uongozi wake mond(rejea majibu ya kejeli aliwahi kutoa babu tale na team yao ya WCB) binafsi naona mond akubal kufuta tofaut zao na hivyo vyombo vya habari kuna madhara yake , asisahau alikotoka
 
tutaona mwisho Wa picha ukweli utajulikana... lakini hili suala la kusema eti watu wana bifu na Diamond kwa sababu ya mafanikio yake ni kuwachafua image yao 2
Mkuu upo sahihi kabisa najua sasa hiv analeta kiburi kwa sababu ya nguvu ya Instagram nazan anaona vyombo vya habari hawana umuhimu kwake kivile ( ukiondoa clouds FM ambayo Ruge ndiyo boss wa wote hao kuanzia tale, fella, yule mwarabu na wcb nzima akiwemo mond ) hatakiwi kuweka Sana bifu na vyombo vya habari


Afu kipesa shigongo ni tajiri mbali sana mond hawez kumfikia shigongo kwa sasa labda hapo baadaye
 
Kwa akili yako ya kuendea choon unaona babu tale ni mjanja kuliko eric shigongo siyo
Mwambie yule shigongo ni mafia Sana sema ndiyo hivyo huwez kumuelewa vizur . yule ngosha hana utani
 
Acha uju'ha we bwege.. Kuna mahali niliposema nani ni mjanja kuliko mwenzake?! But all in all, huyo Shigongo ana ujanja gani?! Kwavile huko kwenu mnamuona mjanja unadhani ndo kila mahali anaweza kuwa na status ya kuwa mjanja?
Mkuu usimchukulie poa shigongo
 
Utamwambia nini Mond sasahivi ana pesa, anashine shida hazijui... ukimkosoa kidogo wewe adui yake utakipata cha moto
 
Binafsi namkubal sana mond ni mtafutaji sana kuna machache ya kujifunza kwake, ila ni mwepesi wa kudharau wengine , hajui kukumbuka fadhila na mwisho wa siku anajiona yeye ni Mkubwa zaid ya wengine. Haka katabia naona na harmonize karithi . ila kijana mwingine atafika mbali ni [HASHTAG]#ravy[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…