Halafu Mond hawa mashabiki zake ndo wanampoteza wanashabikia kila kitu anachofanya ndomana anapata jeuri ya kupambana hadi na baba zakeMkuu usimchukulie poa shigongo
Eric shigongo katoka sengelema kaja dar leo ana mkwanja wa maana acha kumlinganisha na hao akina babu tale wakata viuno wanaotegemea kula kupitia kwa diomond na dancee wake akina mose iyoboAcha uju'ha we bwege.. Kuna mahali niliposema nani ni mjanja kuliko mwenzake?! But all in all, huyo Shigongo ana ujanja gani?! Kwavile huko kwenu mnamuona mjanja unadhani ndo kila mahali anaweza kuwa na status ya kuwa mjanja?
Hawa jamaa wanazan shigongo ni wa kimchezo mchezo ni mafia kinoma na anamkwanja wa hatarMwambie yule shigongo ni mafia Sana sema ndiyo hivyo huwez kumuelewa vizur . yule ngosha hana utani
We jamaa nawe sijui vipi cjui!! Wapi nimemlinganisha Shigongo na yeyote yule kwenye posts zangu?! We jamaa wa wapi wewe?!Eric shigongo katoka sengelema kaja dar leo ana mkwanja wa maana acha kumlinganisha na hao akina babu tale wakata viuno wanaotegemea kula kupitia kwa diomond na dancee wake akina mose iyobo
Kumchukulia poa kivipi?!Mkuu usimchukulie poa shigongo
Jamaa unaonekana unamkubali sama diamond hadi unaandika gazeti lote hili... anyway Mimi siyo hater huo ulikuwa ni mtazamo wangu tu kutokana na research na observation zanguNdo maana nikakuambia we jamaa una matatizo manake unataka iwe unavyotaka wewe hata kama uhalisia haukuwa hivyo!!
Nimekuambia mgogoro na Shigongo ulianzia kwa Shigongo mwenyewe kisha Babu Tale akamsemea mbovu Shigongo na Diamond hakuhusika na chochote!!! Na kwa kukuonesha hili suala lilikuwa wazi; nime-Google mara moja tu nimekuta sources kibao zimeandika hilo suala. Kwa mfano, Swahili Times hawa hapa:
Kwa habari zaidi, ingia kwenye website yao hapa!
Dar24.com nao hapa:
Millard Ayo nae, huyu hapa:
Global Publishers wenyewe hawa hapa: BABU TALE; MAONI YA SHIGONGO HAYAHUSIANI NA SHOO
Perfect Crispian nae huyu hapa na tena amemuhoji Babu Tale:
Na post ya Shigongo ambayo iliibua yote hayo ni hii hapa:
Kufuatia hiyo post ndipo Babu Tale akaja juu na hii post:
View attachment 534856
Sasa wote hao, including Global Publishers wenyewe wanakuambia ni conflict kati ya Shigongo na Babu Tale!! How come unalazimisha kwamba hilo bifu ni la Diamond na Shigongo na mwanzishi ni Diamond?!
Sasa ukisikia watu wanaitwa Haters basi wewe ndo una hizo sifa manake tangu jana nakuambia source ni nini lakini wewe hutaki unataka iwe ni ugomvi kati ya Diamond na Shigongo na mwanzilishi ni Diamond!!!!
Na kwavile hivyo ndivyo unavyotaka, ndo maana tangu jana nilikuambia:
yah its true katika utafutaji ni mfano Wa kuigwa binafsi hata Mimi pia kuna nyimbo zake nazikubali ila haka katabia ka dharau, kejeli na show off vinanitoaga kwenye mood kabisa... sijui ni ulimbukeni au hasira za kusota sana kwenye lifeBinafsi namkubal sana mond ni mtafutaji sana kuna machache ya kujifunza kwake, ila ni mwepesi wa kudharau wengine , hajui kukumbuka fadhila na mwisho wa siku anajiona yeye ni Mkubwa zaid ya wengine. Haka katabia naona na harmonize karithi . ila kijana mwingine atafika mbali ni [HASHTAG]#ravy[/HASHTAG]
Kwanini magazeti ya udaku ya Shigongo siku hizi hayaandiki habari za Diamond? Kuna beef gani tena?
Mbona Diamond anaandamwa na mabeef sana; huku EATV, huku Kiba, huku Davido? Tatizo ni nini hasa?
Unaona sasa?! Wakati jana nakuambia si nilikuwambia kwa maneno machache tu na mwisho nikafunga mjadala! Pamoja na yote hayo bado ukaendeleza kwa sababu kiu yako ilikuwa ni tofauti na uhalisia!!!Jamaa unaonekana unamkubali sama diamond hadi unaandika gazeti lote hili... anyway Mimi siyo hater huo ulikuwa ni mtazamo wangu tu kutokana na research na observation zangu
Kwahiyo huyo babu yako tale ndo meneja wa shingongo wa kumzuia na kumupangia cha kuandika au ana hisa kwenye biashara za shigongoWe jamaa nawe sijui vipi cjui!! Wapi nimemlinganisha Shigongo na yeyote yule kwenye posts zangu?! We jamaa wa wapi wewe?!
Hoja hapa ni kwamba Babu Tale alimpa makavu Shigongo kwamba aache kuandika hovyo watu kwa nia ya kuwafanyia damage!!! Baada ya kupewa makavu, kumbe inawezekana according to mleta mada, kumbe Shigongo kasusa kuandika habari za Diamond mtu ambae kwa sasa sidhani kama anategemea magazeti ya udaku!!!
Kama Shigongo na mihela that's none of our concern... kama pesa ni zake na ndugu zake!!!
We jamaa vipi?! Shigongo amejifanya mshauri wa WCB! Wenye WCB yao hawataki mambo yake ya kimbwiga ya kujifanya mshauri wa WCB!!! Sasa how come unalazimisha watu watake ushauri wake?Kwahiyo huyo babu yako tale ndo meneja wa shingongo wa kumzuia na kumupangia cha kuandika au ana hisa kwenye biashara za shigongo
Huyo tale wako ananjaa kinoma mkuu wewe endelea kuleta chuki kwa watu matajir kama eric