Sijui huwa mnatumia akili za wapi mimi mwanamke ajifanye kiburi aniambie hivyo ataona anavyoteseka!, chakufanya nikumchukulia ushahidi tu wa maneno yake halafu tulia usifanye chochote! akienda kwenye dawati la kijinsia kulalamika huko ni ataumbuka yeye!, halafu wewe shikilia msimamo tu.
Sidhani kama kuna fidia ya malezi labda ithibitike mtoto si wako ki DNA halafu apatikane baba halali ki DNA, huyu baba halali atatakiwa akulipe ila sidhani kama hiyo sheria ipo!.
vilevile anaweza kukukandia kama ukimpeleka mahakamani anaweza akakuomba risiti za matumizi yote uliyofanya ya mtoto!, maana huo ndo utakuwa kama kielelezo chakuwa ulitumia gharama so, unazo hizo risiti..?[emoji23]
by the way kwenye jamii linapokuja swala la familia wanaume huwa hatusikilizwi sana!, ni kama vile hatuna haki!, mwanaume unajitafutia haki mwenyewe na akili za kuishi vizuri ama vibaya ni zakwako mwenyewe!.
wewe ushaambiwa mtoto si wako, basi kusanya ushahidi wa maneno yake then kaa kimya, ukiitwa weka wazi huo ushahidi wausikie, najua anaweza akaomba msamaha wewe sema huna imani tena!.
Na hata kama pesa unayo usikimbilie kupima DNA, maana ipo sheria inawaruhusu madaktari wa DNA kukupa majibu batili pale atakapoona mtoto hana wa kumlea!, hivyo daktari hata akiongopa na ukaja ukagundua baadae kisheria huna chakumfanya!.
Sisi wanaume raha humu duniani tunajipa wenyewe, usitarajie maswala ya familia siku mambo yakigeuka yatakuwa upande wako never!, huwa tunaonekana ni mazumbukuku tu.
fanya vitu kwa utafakari mpana!.