Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kwa hiyo wwe unataka watu wagawane majengo ya serekali!? Mmoja Mortuary na mwingine gerezani ndiyo utafurahi!!??Panga jipya pamoja na kulinoa, haizidi 15,000/-
basi ngoja nikeambie....kaa nae mbali kaa kimya mshukuru Mungu.Sina uhakika, wala sio kama nina shida saana na hizo pesa, ila nilitaka apate fundisho tu , mana ana dharau na kiburi sana huyu mwanamke
Umepata ushauri wa kikubwa hili ndo uishi nalo hakuna la zaidi wala hakuna cha fidia!!! Kaa kwenye ushauri huu wa mdau.ukweli umekuweka huru,
si kwamba wema wako umekuponza, bali umejiwekea hazina mbinguni,
umetekeleza wajibu wako ipasavyo kama baba mwema, bora sana muwajibikaji.
Hujapoteza kitu gentleman kwa malaika huyo japo ni kwa hadaa za Delilah, huo ni uwekezaji wa Neema, kwa ukarimu. Unayo hazina mbinguni.
Huna haja ya kubababika,
Umetenda wema, sasa nenda zako kwa amani.
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe daima,
aimenš
Fata ushauri uliopewa, kapime DNA kuepuka kuwa ATM/mgodi. Ukijua ni wako fata utaratibu wa kisheria wa kumchukua na hana uwezo kukataa. Kama sio wako samehe na anza upya. Hapo bado mambo ya secondary na chuo yanakusubiri.Mkuu hii kitu inatia hasira sana, usipojizuia unaweza jikuta hata umeua mtu. Imagine nimehudumia kwa kipindi chote hicho, alaf sasahivi anakuja kuniambia kuwa mtoto sio wangu, tena ananijibu kwa nyodo kabisaš”š”
Ameshapata mwekezaji mpya atakayemtunza mtoto au baba yake mzazi amepata maokoto ya kutosha. Sikiliza na zingatia wimbo uliosema kwani kuachana sh ngapi. Na wewe sema kwani kuacha sh ngapi. Usihesabu pesa, angalia amani ya moyo wako. Huyo danga anajiletea laana kwa kizazi chake.Nimeacha baada ya yeye kunitamkia hayo maneno.. sasa nikipiga hesabu gharama zangu zote nilizotoa kipindi chote hicho kiukweli inaniuma sana