Una hoja, usikilizwe!kwamba hatukuweza kuwaza kuna lugha ya maandishi zaidi ya kugundua vibuyu vya kunywea pombe, kubuni staili za kucheza ngoma na kutengeneza moto kwa kupekecha kijiti ?
Kutawaliwa kwa upande mwengine ndio kumefanya watu wajue kuna lugha ya maandishi.Mkuu nadhani ni Afrika nzima isipokuwa Ethiopians tu. Kutawaliwa kubaya sana
Na misriMkuu nadhani ni Afrika nzima isipokuwa Ethiopians tu. Kutawaliwa kubaya sana
Lugha zilikuwepo kwa baadhi ya makabila ,zilikuwa zinaandikwa ; watu waliandika chini ,magome ya miti ,walitumia baadhi ya michoro kumaanisha kitu ...Watu walikuwa anajichora kwenye miili yao .Kutawaliwa kwa upande mwengine ndio kumefanya watu wajue kuna lugha ya maandishi.
Kabla ya hapo kulikuwa na Yowe
Waarabu wana maandishi yao,, siyo misri.Na misri
Ndio uyataje hayo makabila na muhimu zaidi EVIDENCELugha zilikuwepo kwa baadhi ya makabila ,zilikuwa zinaandikwa ; watu waliandika chini ,magome ya miti ,walitumia baadhi ya michoro kumaanisha kitu ...Watu walikuwa anajichora kwenye miili yao .
Kwani kuna lugha inayo itwa Kimisri? Kama hakuna ina maana wanatumia Kiarabu. Je Misri ina hati miliki ya lugha ya Kiarabu? Jibu ni Big no.Na misri
Misri haina makabila?Kwani kuna lugha inayo itwa Kimisri? Kama hakuna ina maana wanatumia Kiarabu. Je Misri ina hati miliki ya lugha ya Kiarabu? Jibu ni Big no.
Wamakonde .Ndio uyataje hayo makabila na muhimu zaidi EVIDENCE
Warangi walijitahidi; wana michoro yao pale Kondoa Irangi.Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ?
Ni michoro iliyotumika Kwa mawasiliano (mbadala wa kuongea) au michoro tu kama ya Amboni, Kwa wamakonde kule n.kWarangi walijitahidi; wana michoro yao pale Kondoa Irangi.
Ni michoro iliyowasilisha maana fulani iliyoeleweka kwa wahusika. Hata maandishi haya haya ya kawaida ni michoro pia.Ni michoro iliyotumika Kwa mawasiliano (mbadala wa kuongea) au michoro tu kama ya Amboni, Kwa wamakonde kule n.k
Yapo Mkuu. Ila siyo mengi kama sisi, kabila kuu ni Wamisri ambao twaweza sema Ndiyo Waarabu. Na kuna Wabedui(Bedouins) wanakaa sana jangwani na wana hama hama sana. Pia kuna kundi jingine au kabila wait wao Wababeri (Berbers). Haya makabila mawili ya mwisho ni 'Minorities'.Misri haina makabila?
Hapana . Misri iliyokuwa na lugha yake na elimu yake ya juu kwa wakati huo hasa wakati wa farao anayesemwa kwenye biblia kuwatumikisha waisraeli walikua waaafrica watu weusi . Waarabu walikuja misri baada ya vita ya roman empire kuivamia misri na kushindwa .Na misri
Kitabu cha stolen legacy of africa kinaelezea kwa undani elimu na mchango mzima wa africa katika elimu duniani . Ila hii vita ya ubaguzi wa rangi haikuanzia sasa ni toka karne na karne .Yapo Mkuu. Ila siyo mengi kama sisi, kabila kuu ni Wamisri ambao twaweza sema Ndiyo Waarabu. Na kuna Wabedui(Bedouins) wanakaa sana jangwani na wana hama hama sana. Pia kuna kundi jingine au kabila wait wao Wababeri (Berbers). Haya makabila mawili ya mwisho ni 'Minorities'.
Hadithi ya waisraeli kutumikishwa misri haipo kabisa wala kwenye historia ya misri hakuna tukio kama hilo.Hapana . Misri iliyokuwa na lugha yake na elimu yake ya juu kwa wakati huo hasa wakati wa farao anayesemwa kwenye biblia kuwatumikisha waisraeli walikua waaafrica watu weusi . Waarabu walikuja misri baada ya vita ya roman empire kuivamia misri na kushindwa .
Kitabu cha stolen legacy of africa kinaelezea kwa undani elimu na mchango mzima wa africa katika elimu duniani . Ila hii vita ya ubaguzi wa rangi haikuanzia sasa ni toka karne na karne .
Hata nyuma ya discovery nyingi za Hebrews nyuma yake kuna mchango mkubwa wa elimu ya africa .
Kabla ya hapo africa ndo lilikua bara lenye elimu ya juuu . Pythagoruous na pilato wote wamesoma africa .Mkuu nadhani ni Afrika nzima isipokuwa Ethiopians tu. Kutawaliwa kubaya sana