platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,539
Michoro ni ya Wasandawe. Pia michoro kwa sehemu kubwa inaonyesha utamaduni wa kifugaji/uwindaji ambao ni wa Kisandawe na si Warangi ambao ni WakulimaWarangi walijitahidi; wana michoro yao pale Kondoa Irangi.