platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,539 Aug 7, 2025 #21 dudus said: Warangi walijitahidi; wana michoro yao pale Kondoa Irangi. Click to expand... Michoro ni ya Wasandawe. Pia michoro kwa sehemu kubwa inaonyesha utamaduni wa kifugaji/uwindaji ambao ni wa Kisandawe na si Warangi ambao ni Wakulima
dudus said: Warangi walijitahidi; wana michoro yao pale Kondoa Irangi. Click to expand... Michoro ni ya Wasandawe. Pia michoro kwa sehemu kubwa inaonyesha utamaduni wa kifugaji/uwindaji ambao ni wa Kisandawe na si Warangi ambao ni Wakulima
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 9,121 Reaction score 20,814 Aug 8, 2025 #22 Joenh said: Kabla ya hapo africa ndo lilikua bara lenye elimu ya juuu . Pythagoruous na pilato wote wamesoma africa . Click to expand... Halafu ikawaje tukawa outsmarted na kutawaliwa? Mi nadhani hizi nyingine ni stori tu za kutengeneza ili kubalance mzani
Joenh said: Kabla ya hapo africa ndo lilikua bara lenye elimu ya juuu . Pythagoruous na pilato wote wamesoma africa . Click to expand... Halafu ikawaje tukawa outsmarted na kutawaliwa? Mi nadhani hizi nyingine ni stori tu za kutengeneza ili kubalance mzani
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,884 Reaction score 21,175 Aug 8, 2025 #23 Kuandika hakutokei tu. Inatakiwa kuweka na utawala unaohitaji kutunza kumbukumbu za Kodi, mavuno na kuandika Sheria. Ni nyenzo ya utawala mkubwa. Wabantu tulikuwa tunazunguka tu tukiwinda na kukusanya, hatukuhitaji kuandika.
Kuandika hakutokei tu. Inatakiwa kuweka na utawala unaohitaji kutunza kumbukumbu za Kodi, mavuno na kuandika Sheria. Ni nyenzo ya utawala mkubwa. Wabantu tulikuwa tunazunguka tu tukiwinda na kukusanya, hatukuhitaji kuandika.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 8, 2025 #24 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw