Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Salama wakuu..
Kwanza awali ya yote pitia video hapo juu ambayo ina 563kb hata MB bado haijafika hivo wacha uwoga wa kufungua video..
Kipindi sina uwelewa wa mambo ya fizikia hilo jambo hapo juu la jamaa kuchukua hatua ya kuruka kutoka kwenye ndege mpaka chini ya maji nilijua ni simple sana.
Lakini baada ya kuja kukaa na wataalamu wakawa wanasema ni bora uangukie kwenye miti na sio kwenye maji..
Wengine wakafika mbali na kusema ni ngumu kuruka kutoka kwenye ndege hasa za abiria kutokana na ile speed yake ukiongeza mda huo mpo kwenye moment ya accident mambo huwa tofauti.
Sasa kwa tukio hilo hapo juu kitaalamu wakuu lipoje je atapona huyo jamaa au ndo kwisha habari yake..
Najua kuna watu watakua wanayo hii au wameona mpaka mwisho tofauti na mimi but ebu tujaribu kujadiri ili kutufungua wengune kidogo je hiki kitu ni possible au impossible...
Kama ni possible ni kwanini...??
Kama impossible ni kwanini..?
Zingatia g=9.8m/s².. π=22/7
Baba Swalehe