Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Wakubwa polen na majukumu. Naomba niwaulize swali moja kwa moja bila kupoteza muda 1)hivi inawezekana mtoto wa kiume aliyekamilika rijali anakula na kushiba akaweza kufika umri wa miaka 28 hadi 30 bila kufanya mapenzi??? 2)Je kuna madhara yeyote mtoto wa kiume anaweza kuyapata asipofanya mapenz hadi kufikia umri wa hapo juu??maana nimekuwa nikisikia kuwa usipoduu muda mrefu unaweza kuwa gay au impotent tafadhal naomben majbu wakuu
 
Bila shaka wewe ni ke kama nimekosea unisamehe.
Mwanaume huyaona maumbile yake kamili kila siku, ikiwa ni madogo au makubwa hasa wakati wa haja ndogo, kwa hiyo dhana ya kibamia ondoa.
Kuhusu nguvu au kutema risasi pia lazima atajua kama bunduki inatema au la. Wanaume watanielewa
si kweli nawaza kama hajatumia hicho kikojoleo chake hata kama anakishika kila siku ataona kawaida maana hakijatumika. Atabaki na wasiwasi maana anaweza asijue kibamia kinalinganaje. Bora sie ke hili tatizo hatuna. Usipinge tena labda uweke hapa picha.
 
Inawezekana tena sana,Mimi nimekuja kujihusisha nikiwa na miaka 29,sikupata tatizo lolote kipindi hicho chore.malezi na mazingira yana nafasi kubwa kukushape
 
THE WAY U USE IT,IT BECOME STRONGER ONE AND VICE VERSA IT PERISHED
 

  • Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu



    Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset

    system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

    Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy

    inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo.

    Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko)

    inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani

    lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

    Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis

    zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's

    brain iniciated.

    Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:

    Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,

    kupendelea sana kuangalia picha za uchi,

    Kusahausahau,

    Kupendelea story za mapenzi,

    Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),

    Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),

    Kuumwa na kichwa,

    Kukakamaa mgongo (wanaume),

    Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba katika usingizini wakati unapolala.

    Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),

    Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,

    Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

    &[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];
    attachment.php

Duuuhh Hatari
 
Back
Top Bottom