Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

kiafya mkuu hakuna madhara ila kitakachotokea pale utakapokutana na mpenzi wako utapiz mapema sana,hivyo kimahusiano utahatarisha penzi lako kwa mwenzako kwani hutakuwa unamridhisha vya kutosha
 
Nifanyeje ili nisipizi mapema nikiwa tayar kuwa na mwenzangu
 
Namimi nnaswali !!!! Kuna madhara gan usipo piga puchu kwa mda mrefu??????
 
Back
Top Bottom